Kama nikipewa nafasi ya kuwateulia watanzania rais nitamteua huyu hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama nikipewa nafasi ya kuwateulia watanzania rais nitamteua huyu hapa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dijovisonjn, Mar 14, 2012.

 1. Dijovisonjn

  Dijovisonjn JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Siku nikipata nafasi ya kuwateulia watanzania rais kutoka katika vyama vyetu vya siasa nitawateua wafuatao:-

  1) kutoka CCM nitamteua Edward Lowasa kuwa rais.

  Yeah kweli kabisa na nipo serious kuwa CCM cjamuona mtu wa kuwa rais wangu tofauti na EL, wengi najua hapa watanichukulia kwa mitazamo yao tofauti watakayoona kwa sababu ndugu EL alihusishwa na kashfa za ufisadi haswa richmond, lakin pamoja na hayo yote hakuna kiongozi makin na mwenye maamuzi ya haraka ndani ya ccm kama EL nakumbuka katika kipindi chake cha uwaziri mkuu serikalini kulikuwa na adabu wafanyakazi walifanya kazi migomo ilikuwa michache tofauti na sasa kweli mshikaji alikuwa mchapa kazi na mpaka leo najiuliza ni kwa nini haswa aliiruhusu richmond ila sipati majibu, pamoja na kashfa zake zoote alizonazo binafsi bado sijaona mwanaccm yeyote yule anayefaa kuwa rais wangu tofauti na EL.

  Labda kwa mbaaali namuona ndugu Membe kama mtu anayefaa kuchukua nafasi ya EL kwa sababu binafsi namuona Membe kama waziri makini na anayejua mambo nadhani Membe anastahili kuwa chaguo namba mbili kwangu. Lakin wote hawa watakuwa viongozi wazuri zaidi kama wataukwepa ule mchezo wa kuform serikali (executive) kwa kuwatumia maswahiba wao!

  2) kutoka CHADEMA nitamteua Dr Slaa kuwa rais.

  Nisipomteua Dr Slaa binafsi nitakuwa siitendei haki nafsi yangu, Dr Slaa kwanza kabisa ana ushawishi mkubwa sana kuliko kiongozi yeyote yule ndani ya CHADEMA, anaonekana kama mzalendo (sina uhakika kama ni mzalendo kweli au anaigiza kuwa mzalendo) na mwenye uchungu na Tanzania, binafsi naamini mafanikio ya CHADEMA ya leo ni kutokana na uwepo wake, naamini kama akiwa raisi kwa kiwango fulani tunaweza kupiga hatua mbele kimaendeleo.

  Mbali na Dr Slaa ndani ya CHADEMA binafsi namuona mbunge wa Ubungo ndugu John Mnyika kama mtu sahihi anayefaa kuwa rais kama dr akimaliza muda wake, kwanza kabisa binafsi naamini Mnyika ndiye mbunge bora wa bunge hili la tisa, kwanza ni kijana anayejua mambo mengi sana pia ni mtu asiyeongea ili mradi ameongea tu na kitu alichowahi kunifurahisha zaidi ni kipindi kile alipokuwa na likitabu la bajeti ya Zambia, pia kuwa na blog yake anayoitumia kuwaelezea wananchi mambo mbalimbali yanayohusu kazi zake. Binafsi namkubali sana Mnyika na naamini kama sio Dr Slaa Mnyika atafaa zaidi kuwa rais wa watanzania kutoka CHADEMA.

  3) kutoka CUF sijamuona wa kumteua!
  kabla CUF hawajamfukuza ndugu Hamad Rashid, Hamad Rashid ndiye mtu niliyekuwa namuona anafaa kuwa rais wa watanzania kutoka CUF lakin baada ya kumtimua, CUF imeniacha bila chaguo lolote lile, binafsi sioni sura ya mtu kuwa rais wa watanzania kutoka CUF labda ngoja nisubiri atajitokeza badae.

  4) kutoka vyama vingine vya siasa bado sijaona kabisa labda ngoja nisubiri naamini ipo siku nitamuona.
   
 2. O

  Omr JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Upewe hiyo nafasi kama nani?
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Cadema kuna mtu mmoja tu sema yuko kwenye wrong Party. ZITTO bwana noma.
  Lakini Mkuu mbona hujamtaja MBOWE? ukiona Cv yake huyu Mpalestina utacheka. primary schoo(haijaoneshwa), secondary school start date (dash), end date(dash) , highest level (HIGH SCHOOL) sasa unajiuliza alinza lini na kufika high school? thehe thehe thehe thehe thehe --------------------------------fuuuuuuuuu.
   
 4. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Wewe utakuwa unatoka Kaskazini.
   
 5. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Foolish people always talk nonsense , unthinkable and impossible events!
  Rais ateuliwi kama unavyofikili!
   
 6. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kazi kweli kweli hapa:cool2:
   
 7. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
 8. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  DR SLAA HANA MPINZANi
   
 9. c

  cecane Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 22
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 5
  umesahau kumtaja Mtikila
   
 10. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hivi Rais anateuliwa toka lini kama si kutaka kujaza server bure?
   
 11. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mbona ujamtaja wasira... tehe tehe tehe...

  najinsi alivyo handsome.
   
 12. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280

  Ni zaidi kuliko wewe?
   
 13. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Watz kwa kukurupuka bwana, hamtofautishi kati ya maoni na hoja. Mwenzetu katoa maoni yake, iwapo angepewa nafasi ya kufanya huo uteuzi. Suala la msingi je kwa maoni yako, unakubaliana nae ama una watu wenye sifa mahsusi tofauti na hawa ambao wewe ungeridhika nao zaidi. Nawasilisha.
   
 14. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Nakuunga mkono mkuu .
   
 15. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ndio maana nafasi km hiyo huwezi kupata..kwani wenye mawazo ya mgando wana
  hitaji kupungwa...
   
 16. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Huyu lowasa anavyo wapa hela,na wewe kakupa ngapi?.
   
 17. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  S t wasira,rais pinda w. Mkuu, komba w. Wa michezo, lyatonga w. Wa afya, jazia.
   
 18. t

  tume huru Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Naunga mkono hoja, Zitto asingekuwa kigeugeu ningempa nafasi ya pili kutoka chadema kwa kigezo cha ushawishi na kuwaonyesha njia anaowaongoza, wapi pa kwenda.
   
 19. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Very right! Yaani humu ndani sometimes huboa sana watu zao Kupinga tu ilimradi. Watu hushindwa kuangalia maoni, hoja, mtazamo wao ni matusi tu hadi kero.
   
 20. l

  luckman JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  sikubaliani na mwizi hapo juu kwenye red, mara mia ya magufuli kuliko jizi hili!
   
Loading...