Polisi wana mpango wa kuwakamata viongozi watatu wa CDM katika kampeni za Arumeru

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Hivi CCM na mapolisi wao wamepanga kuwakamata na kuwafungulia maashitaka wabunge na viongozi wangapi wa CDM huko Arumeru?

Habari nilizozinusanusa ni kwamba viongozi watatu wa CDM yatawapata hayo – V. Nyerere, G. Lema naMchungaji Msigqwa.

VN kasha ingia katika frame ya mapolisi wa CSDm kutokana na kauli yake kuhusu kifo cha Mwalimu Nyerere, ingawa aliyosema Mbunge huyo wa Musoma ni huenda ni kashfa tu (libel) , suala la kesi za madai (civil case) na siyo criminal case. Ngojeni tu.
 
kama wana ushahidi na sababu za kuwakamata polisi ni haki yao ya kikatiba hakuna aliye juu ya sheria jambo la msingi ni kujua wanakamatwa kwa nini
 
Hivi CCM na mapolisi wao wamepanga kuwakamata na kuwafungulia maashitaka wabunge na viongozi wangapi wa CDM huko Arumeru?

Habari nilizozinusanusa ni kwamba viongozi watatu wa CDM yatawapata hayo – V. Nyerere, G. Lema naMchungaji Msigqwa.

VN kasha ingia katika frame ya mapolisi wa CSDm kutokana na kauli yake kuhusu kifo cha Mwalimu Nyerere, ingawa aliyosema Mbunge huyo wa Musoma ni huenda ni kashfa tu (libel) , suala la kesi za madai (civil case) na siyo criminal case. Ngojeni tu.

Ukishakuwa mpinzani lazima mambo kama hayo ni ya kawaida na upinzani maana yake ni kuji sacrifice kwa ajili ya wengine.Hata kupata uhruru wa nchi hii ulikuwa ni mziki hasa kumfuata mzungu na kumwanbia tunataka uhuru wetu,wengine walikufa,wengine waliahirisha siasa na wengine walifungwa na mashujaa wakafanikisha kutufikisha hapa.Elewa unapoishia mwingine anaendelea do not lose heart.
 
Hivi mkapa ameshatukana watu mara ngapi...na ameshachukuliwa hatua zipi, mara ngapi?
 
Waiwakamata tu Meru panawaka moto, tutakamata Polisi wotewalioko Arumeru cjui ndio utakuwa mwisho wa kampeni au mwisho wa ccm kuingia Meru. Stay tuned hawajawajua Wameru bado
 
Mtoa habari njoo na source yako. umeanza kwa kusema viongozi watatu badae unauliza tena wangapi! jipange sawasawa ntarudi ukiweka source.
 
Acha kutanguliza hisia potofu wewe, ongea mambo kwa data siyo hisia zisizokuwa na mshiko wowote. Aidha, nakushauri uache ushabiki kupindukia wa CDM.
 
Hivi CCM na mapolisi wao wamepanga kuwakamata na kuwafungulia maashitaka wabunge na viongozi wangapi wa CDM huko Arumeru?

Habari nilizozinusanusa ni kwamba viongozi watatu wa CDM yatawapata hayo – V. Nyerere, G. Lema naMchungaji Msigqwa.

VN kasha ingia katika frame ya mapolisi wa CSDm kutokana na kauli yake kuhusu kifo cha Mwalimu Nyerere, ingawa aliyosema Mbunge huyo wa Musoma ni huenda ni kashfa tu (libel) , suala la kesi za madai (civil case) na siyo criminal case. Ngojeni tu.

Kama Jeshi la Polisi wanafuata misingi ya Haki na Sheria basi kwanza waanze kwa kumkamata Mkapa kwa UZUSHI KUWA VINCENT NYERERE SIYO MTOTO WA NYERERE. Mkapa ndiye mwanzilishi wa uzushi huu wa kichochezi. Huwezi kumzushia mtu ati yeye hakuzaliwa familia fulani.

Kama wataanza na kichaa Mkapa basi tutawaelewa. Nje ya hapo itakuwa ni uonevu,chuki,wivu na hofu kubwa ya CCM na Polisi wao kupigwa mweleka.
 
iii iiii ita i itak kkkku wwwww wa bo boooonge lllll lla p p pr pp prrom promo!!!! aaaa a aaacha wa wa waji waji wajich chu chuuu chuuuze.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom