Tanzania kuna ombwe la uongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania kuna ombwe la uongozi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ileje, Mar 14, 2012.

 1. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Viongozi wetu:


  1. Ni wajivuni na kila mmoja anajali maslahi binafsi;
  2. Hawana upendo wala heshima kwa wananchi ambao ndiyo waliyowaweka madarakani;
  3. Wanapenda kuombwa na kuambudiwa badala ya kujituma kuwatumikia wananchi na kusikiliza kero zao;
  4. Wanaogopana na hivyo kushindwa kukaa pamoja na kushauriana namna bora ya kuwatumikia wananchi; na
  5. Wanalindana na hivyo kushindwa kukosoana ili kuficha madhambi yao.

  Wananchi tunatakiwa kuyatambua haya ili tusiendelee kujiweka kitanzi kwa kuchagua viongozi wanafiki na wabovu!
   
 2. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umechelewa kulijua hili, ni tangu mwaka 2005
   
 3. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Mwaka 2005 tuliambiwa tumepata chaguo la Mungu!
   
 4. O

  OPTIMUS TZ JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazazi ,imekula kwetu ****** na utawala sawasawa na Mmasai na uvuvi
   
Loading...