Tanroads waanza bomoa bomoa kuitikia agizo la Magufuli

kookolikoo

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
2,750
594
Imetangazwa kupitia RADIO ONE BREAKING NEWS kuwa hivi sasa Tanroads wanaendelea na zoezi la bomoa bomoa huko kimara.

Bomoa bomoa hiyo imehusisha zaidi vibanda vya biashara vya walala hoi.
 
Safi! ila wanaobomolewa wapewe stahiki zao kwanza

mimi bado, watanzania ni wepesi wa kusahau! Sheria kwa wengine. Mkumbuke Magufuli alimuuzia ndugu yake na mpenzi wake nyumba za serikali kwa upendeleo. Mdogo wake alikuwa bado mwanafunzi akatolewa shule kuja kuajiliwa ili apewe nyumba. Wala, Magufuri ni mporaji kama wengine. Haya ni kujisafisha tu. Hukumu ya uporaji inamsubiri!!
 
Back
Top Bottom