Vyombo vya habari vya ITV na TBC ni kero kwa wananchi wanaopenda kuona haki inatendaka katika uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki. Vyombo hivi vinaipendelea ccm kwa kuonyesha kwa muda mrefu kampeni...
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya Channel Ten, Rais ameteua wakuu wa mikoa mipya minne.
Wamo Msangi na Magadura.
==============
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
nimefuatilia huu utaratibu wanaofanyiwa viongozi wetu kabla ya kuingia madarakani mara nyingi huwa wanaapishwa wakiwa na lengo la kulinda maslahi ya taifa lakn wakishapewa tu..wanafilisi vilivyo...
Rais Mstaafu Benjamini William Mkapa amemuomba mjane wa Mwalimu Julius Nyerere ampatanishe na Mbunge wa Msoma mjini Vicent Nyerere.
Akiongea na Gazeti la Mtanzania Jana msaidizi wa Mkapa alikiri...
Taarifa zinasema wiki ya maji kitaifa Iringa zimekosa mvuto kabisa. Kwenye ufunguzi leo RC kakosa watu kabisa. Haileweki kama ni watu kuchoka au kuna siasa imeingia. Kama ndivyo iko hatari tarehe...
Wanachuo wengi sana wameshahitimu masomo yao pale makumira university na wengi wao walijiandikisha pale.tunakazi moja ya kulitwaa jimbo,kipindi kilichopita tulipata kura nyingi sana pale sasa...
Nimekuwa nafuatilia michango ya wabunge vijana wa ccm kwa muda sasa, nilichogundua ni kwamba ccm kuna wabunge vijana ambao kwa hakika ndio watakaokuwa chachu ya ushindi 2015. Wabunge hao si tu...
Bila ya uongozi kuwa bora, basi hata utawala hautakuwa bora, maamuzi yatatoka moyoni na si kichwani, hivyo utafanya kwa kuuridhisha moyo yaani nafsi tu.
Licha ya juhudi za wazi za baadhi ya vyombo vya habari kama Mwanahalisi kumchafua Zitto, wananchi wanasema wanamuamini. Angalia nyomi la Mwanza Zitto peke yake alivyofunika kwenye uzinduzi wa...
Tume ya Taifa ya uchaguzi imekataa maombi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CDM) ya kuitaka tume hiyo kuruhusu watu waliopoteza vitambulisho vya kupiga kura wajaze FORM NO 17 kisha waruhusiwe...
Mahakama kuu imetupilia mbali ombi la Mbunge wa Singida Mashariki, TUNDU LISSU aliloliwasilisha akiomba kesi dhidi yake iliyowasilishwa kupinga ushindi wake wa kiti cha ubunge lifutwe.
Ndugu wanaJF, kila nikitafakari nashindwa kuelewa serikali ya CCM iliyopo madarakani inatupeleka uelekeo gani?
Magharibi, kaskazini, kusini au Mashariki? Au ni kama gari lililomshinda dereva na...
Baada ya kurejeshwa kwa chenji ya Rada nchini ambayo imepangwa 'kununulia' madawati,muda umefika kwa mapacha watatu-EL,AC na RA kushughulikiwa.Taarifa zilizonifikia zinabainisha kuwa wakuu wa nchi...
1.Habari ya CCM
MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM, Stephen Wassira ameshangazwa na kulaani tabia iliyoanza kuoneshwa na vijana wa Chadema, katika kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge, Arumeru...
Samahani sana kama ntakuhudhi,
haya ni maoni yangu toka moyoni na sikushawishiwa na mtu yoyote:
Nikili kwamba mimi ni Mwanachama hai wa CCM na si utani. Chama nilikipenda toka moyoni, Ila kwa...
Na Nova Kambota,16 March, 2012Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mkuranga kimezidikujiongezea umaarufu wake kwa kuzidi kusomba wasomi wengi wilayanihumo. Mwenyekiti wa CHADEMA...
Jana baadhi ya vyombo vya habari viliripoti Vincent Nyerere akimshukia Rais Mst Mkapa akijibu hoja kuwa yeye; Vincent si wa familia ya Mwl Nyerere. Hapa JF, topic hiyo ilichangiwa sana na leo...
Baada ya Juzi Sofia Simba kukanusha kuhusika moja kwa moja na mabadiliko ya mchakato wa kupata wabunge wa viti maalum, sasa Mama Kilango ametoka UK na kuwawahi wenyeviti wa mikoa na wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.