Huu mkutano wa Mwanza haukuonekana na Media?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu mkutano wa Mwanza haukuonekana na Media?!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nice 2, Mar 16, 2012.

 1. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Licha ya juhudi za wazi za baadhi ya vyombo vya habari kama Mwanahalisi kumchafua Zitto, wananchi wanasema wanamuamini. Angalia nyomi la Mwanza Zitto peke yake alivyofunika kwenye uzinduzi wa campaign za udiwani!

  Zitto na Slaa ndio viongozi pekee wa CHADEMA wenye kuweza kufanya mikutano peke yao bila "package" ya timu nzima ya juu na kupata umati wa watu. Hivi karibuni tumemuona Zitto Tanga, na sasa hii ni Mwanza.

  Zitto na Slaa ndio dream team CHADEMA, wanaowagombamisha waache. CHADEMA is stronger with Zitto na Slaa.

  Jionee video za mkutano wa Mwanza


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  Mkuu wangu,thread yako haipunguzi gap ndani ya chama bali inaongeza gap! Hebu jiulize mkuu umejenga umebomoa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tusipotoshe, CHADEMA si ya watu wawili. Kama ni hivyo, tutawatisha wanaofikiria kujiunga na chama hicho. Chama imara hutokana na nguvu za wanachama wote; naamini na CHADEMA iko hivyo.
   
 4. i

  ibange JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Zitto baada ya kuona yaliyompata kafulila amebadilika
   
 5. r

  rwazi JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu hawafuati mtu wanafuata sera za chama cyo mtu,mbona akina rema, msigwa,mbilinyi wakiita inajaa
   
Loading...