Nang'atuka rasmi kutoka CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nang'atuka rasmi kutoka CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ta Kamugisha, Mar 14, 2012.

 1. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Samahani sana kama ntakuhudhi,

  haya ni maoni yangu toka moyoni na sikushawishiwa na mtu yoyote:

  Nikili kwamba mimi ni Mwanachama hai wa CCM na si utani. Chama nilikipenda toka moyoni, Ila kwa kwa sasa nabwaga manyanga Rasmi mimi si mwanachama tena wa CCM. Nilijiunga na CCM Mwaka 1999 nikiwa Form 4 hapo jijini DSM tena kwa Moyo mmoja kwa kadi No.1267...., tena kutokana na Mapenzi yangu ya dhati kwa Mwl. JK NYERERE. Na alipokufa nilisikitika sana tena sana, nakumbuka kipindi hicho nilikuwa najiandaa na Mitiana ya Form 4 na tena nilikuwa naumwa typhod kali sana na kidogo iniue! Ila nilijikongoja toka kitandani mpaka pale maeneo ya sanyansi enzi hizo pakijulikana Maji machafu kushuudia mwili wa mwalimu JK NYERERE ukipitishwa hapo. Kiukweli nililia sana na nkazidiwa na kukimbizwa hospital baada ya kuzidiwa ghafla na jua kali lililokuwa limenichapa. Nashukuru mungu aliniepusha na kifo.

  SABABU ZA KUTOKA CCM:

  1. Jana nimepata tena mshutuko wa ajabu baada ya kusikia kuwa chama changu (CCM) kilihusika katika kifo cha Mshawishi wangu wa kujiunga na CCM (JK NYERERE), kweli nimeumia sana.

  2. Hii imepelekea nianze kuanimi maneno ya wapinzani kuwa CCM ni chama cha wauaji, achilia mbalil maswala ya UFISADI, maana Tanzania bila ufisadi haiwezekani, ndo maana kila mtu ni fisadi katika ofisi yake, na hakuna anayeweza kulipinga, maana bila ufisadi hakuna hata mmoja nayeweza kujenga kwa kutumia mishahara yetu. Nisingependa kuegemea katika swala la ufisadi.

  3. Hii imenipele niamini kuwa chanzo cha vifo vya watu mbali mbali ndani ya CCM ni Mkono wa CCM wenyewe! Ntatoa mifano Hai:-

  (a) Kifo cha Kigoma Malima, Utata Mtupu mpaka leo..........Mhusika ni CCM

  (a) Kifo cha Kombe, Utata Mtupu mpaka leo......................Mhusika ni CCM

  (b) Kifo cha Sokoine, Utata mtupu mpaka leo....................Mhusika ni CCM

  (c) Kifo cha Daudi Balal, Utata Mtupi mpaka leo...................Mhusika ni CCM

  (d) Kifo cha Amina Chifupa Utata mtupu mpaka leo............Mhusika ni CCM

  (e) Kifo cha Aman Abeid karume Utata mtupu mpaka leo....Mhusika ni CCM

  (f) Kifo cha Omary Ally Juma Utata mtupu mpaka leo ........Mhusika ni CCM

  (g) Kifo cha JK NYERERE nacho leo wanasema ...................Mhusika ni CCM




  Na sasa kuna maneno mengine juu ya ugonjwa wa Dr. Mwakyembe na Prof Mwandosya kuwa chanzo ni CCM, Jamani kwanini niendelee kuwa mwanachama wa chama hiki? Tafadhali wana CCM Mliokuwa wenzangu nipeni ushawishi wa kutosha wa kwanini nibaki katika hiki chama na Wapinzani nipeni sela zenye mashiko ya kujiunga na chama chenu la sivyo nakaa bila kuwa mwanachama wa chama chochote katika maisha yangu yote kuanzia leo.

  KAPT. KOMBA ALIPATA WAPI TAARIFA MPAKA KUTUNGA NYIMBO ZA MAOMBOLEZO ALBAM NZIMA NA KUIREKODI, ALIJUAJE KAMA JK NYERERE ATAKUFA? PIA NINA WASI WASI NA KAPT KOMBA ALIJUA MPANGO MZIMA WA KIFO CHA UYU MZEE WETU WA TAIFA.

  "NIMEUMIA SANA NA HABARI HII YA MKAPA KUHUSIKA KATIKA KIFO CHA JK.NYERERE NA IMENITOA RASMI CCM"

  "MUNGU MLAZE PEMA MWL. JK NYERERE NA TUNAMPENDA SANA, WOTE WALIOHUSIKA WATAHUKUMIWA HAPA HAPA DUNIANI NA UMPE NGUVU MAMA MARIA NYERERE NA FAMILIA YAKE ASIDANGANYIKE KUUKANA HUU UKWELI MAANA WATAMWANDAMA SANA KUPITIA TBC ILI AYAKANE NA KUMKANA V. NYERERE KUWA SI MWANA FAMILA NA AMEKURUPUKA"


  "NA MPAKA SASA HAJAKANUSHA"


  MyTake:
  Changia bila kutukana.

   
 2. B

  BMT JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  kila la heri umejtahdi kuweka data sawa ila umesahau kuweka namba yako ya uanachama,we ni kanafki sana,nenda huko kwa wapayukaji wenzio
   
 3. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Ongeza vifo hivi
  f). Gibson Mwaikambo
  g). Professor Mwaikyusa
  h). Stan Katabalo
  i). Horace Kolimba

  Wengine endelezeni
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Mods peleka hii kitu kwenye ile ingine!
   
 5. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye {C} huyo hajafa yuko hai mafichoni anakula hela za BOT
   
 6. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Nadhani wewe ndo mpayukaji, sijakwambia nimeamia chama gani, bado nimekupa muda wa kunishawishi nibaki kwenye chama chako, hacha kufikiri kwa kutumia M>A>S>A>B>U>R>I bwana mdogo.
   
 7. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Kaka tulitangaziwa na chama na serikali yetu kuw jamaa amekufa, hapo tumwamini nani?
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Ta Kamugisha, waguma?

  Kwa hiyo Mkuu unataka nami niamini kuwa Jk Nyerere aliuawa na wala si kwamba aliugua Leukemia? Nadhani wewe umeamini na ndio maana imekuwa ni sababu ya kujitoa kwenye chama chako. Haya bwana nyegera kwetu tusiokuwa na vyama.
   
 9. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mimi niliondoka rasmi baada ya kuzomea mswada wa katiba na kujiongezea posho bungeni mwezi uliopita. Siku hiyo hiyo nilijiunga rasmi na CDM. Hivi sasa mimi ni mwanachama halali wa CDM. Nilikuwa mwana CCM lakini si mwana CCM hii. Ni CCM ambayo ilikuwa ideal kwangu. Yaani nilikuwa na hypothetical CCM. Baada ya mambo waliyoyafanya mwezi wa pili niliachana nao rasmi.
  Kimsingi hili la Mkapa kuhusika na kifo cha Baba wa Taifa limenikera kuliko yote. Namshukuru Mungu kwa yote. Ila ipo siku watayalipa haya. Si wao tu, bali watoto wao, wajukuu wao, shangazi zao, shemeji zao, baba zao, wajomba wao, na koo zao. They will be wiped out in the face of the earth!
   
 10. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Kaka unataka uambiwe nini sasa mpaka uhamini? Kama mtu wa ndani ya familia amesimama mbele ya watu na kusema bila kuogopa, hapo unaitaji ukweli upi?
   
 11. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Kaka ebu tangaza sera zako za kunishawishi
   
 12. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Mkapa ndiye aliyesema Leukemia. Madaktari ni no no no no noi? Sisi tunaamini aliuwa kama hao wengine kwenye list.
   
 13. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Karibu nadhani na akina mama wajawazito na waliokufa kwenye migomo mbali mbali
   
 14. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mnapoleta tuhuma nzito kama hizi ambatisheni na ushahidi. Sasa ukiniambia Nyerere aliuawa na Mkapa bila evidence nitatofautishaje maneno yako na yale ya walevi? Maana walevi wanaweza kusema lolote lililo akilini mwao na kuliapia bila hata kulijua ukweli wake. Na wewe ni kama hao? Leta evidence, alimuuaje na kwanini?
   
 15. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mbona hujasema Vicent Nyerere kumbe sio wa ukoo wa Mwalimu ? inasemekana ni alikuwa ni mtumishi , jamaa akajibatiza jina la Nyerere

   
 16. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Kuna mtu aliwahi kunieleza kwamba kuna wachawi na washirikina hapa JF niligoma kumwamini akasema angalia thinking ya baadhi ya wanaJF. .....Ushirikina unaotukuzwa kwa kutuaminisha sababu ya vifo hivyo nakiri kwamba kuna walozi hapa JF na mods wakae mkao wa kupigwa juju.
   
 17. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wakati unaingia CCM hukufahamu kwamba Sokoine alifariki kipindi cha Nyerere?

  Wewe umeingia CCM kwa wrong reasons za kumfuata Nyerere badala ya kufuata sera za Chama na kama unaenda Chadema kumfuata Slaa ndugu yangu na huko ujue utatoka soon.
   
 18. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Dah nayo inaweza kuwa sababu
   
 19. B

  BMT JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  kamugisha nakpata vzr sana,we ni mweupe au mtupu kichwani!weka namba yako ya uanachama hapa ya ccm,acha porojo,
   
 20. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,724
  Likes Received: 1,630
  Trophy Points: 280
  tuongeze
  Kabendera Shinani Mtangazaji wa BBC aliuliwa baada ya kutangaza matokeo kuwa Masiringi Mleba kusini kashindwa kwenye ubunge Muleba Kusini, kuwa Prince bagenda wa NCCR kashinda
   
Loading...