mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]
My Take:
Mkapa anaendaje kwa mama Maria wakati alisema Vincent sio Ukoo huo(kumbe Mzee Muongo?)
[/FONT]Rais Mstaafu Benjamini William Mkapa amemuomba mjane wa Mwalimu Julius Nyerere ampatanishe na Mbunge wa Msoma mjini Vicent Nyerere.
Akiongea na Gazeti la Mtanzania Jana msaidizi wa Mkapa alikiri Mkapa kusema kwamba Hajawahi kutambulishwa kama Vivent ni mtoto wa nyerere. Mtoto mkubwa wa mwalimu MADARAKA Nyerere amekaririwa akisema Vicent ni ndugu yao mtoto wa baba yao mdogo.
Kauli hiyo ya Rais mstaafu inakuja mara baada ya Vicent kumjibu Mkapa kuwa ndiye alihusika na kifo cha mwalimu.
Chanzo: Gazeti la Mtanzania
My Take:
Mkapa anaendaje kwa mama Maria wakati alisema Vincent sio Ukoo huo(kumbe Mzee Muongo?)