sioni umuhimu wa kiongozi kuapishwa

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,407
6,555
nimefuatilia huu utaratibu wanaofanyiwa viongozi wetu kabla ya kuingia madarakani mara nyingi huwa wanaapishwa wakiwa na lengo la kulinda maslahi ya taifa lakn wakishapewa tu..wanafilisi vilivyo.
My take:utaratib wa kuwaapisha hawa mafisadi ufutwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom