Lissu ni lazima ujibu tuhuma-mahakama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lissu ni lazima ujibu tuhuma-mahakama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Mar 16, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mahakama kuu imetupilia mbali ombi la Mbunge wa Singida Mashariki, TUNDU LISSU aliloliwasilisha akiomba kesi dhidi yake iliyowasilishwa kupinga ushindi wake wa kiti cha ubunge lifutwe.
   
 2. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,495
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  Hawa majaji wanajitia aibu....Mpendazoe walimlazimisha alipe full amount ya gharama za kufungulia kesi la sivyo kesi ingefutwa...lakini cha ajabu kwa Lissu wanaendelea ilhali wadai hajalipa hata shilingi mia! Majaji gani hawa!
   
 3. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,631
  Likes Received: 1,389
  Trophy Points: 280
  WANAMBIPU LISSU! akiwapigia wahakikishe simu ina chaji ya kutosha
   
 4. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Tundu Lissu ni mbunge wa jimbo gani?
   
 5. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,495
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  Manzese
   
 6. m

  massai JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  huyo atakae endesha hiyo kesi anataka kujifunza zaidi mambo ya sheria.pale sheria imelala tena sio ya kinafiki kama ya majiji wa magamba,baadhi ya majaji sio wote.
   
 7. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  safi sana umepata!
   
 8. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  wateule wa CCM, wanatimiza wajibu wao
   
 9. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,734
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  hivi ukilipa hizo garama zote dhen ukashinda kesi wanakurudishia mshiko wako au ndio zinageuka za posho?
   
 10. N

  NTABWENKE Senior Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamani hivi hizi kesi za wabunge wa chadema ni kweli au ni mkakati maalum wa kuwafanya wasishugulike na mambo mengine ila kesi? Mwaka na nusu sasa kila kukicha mahakamani aaah ccm. Kama hamtaki upinzani futeni kwenye katiba mpya turudi kulekule kwenye chama kimoko.
   
 11. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tundu Lissu never give up, the day will come when the natives shall understand what you are standing for. The day will come when you shall receive what you deserve, the day will come that values and qualities of you argument shall be appreciated. Finally Tanganyika shall be understood.
   
 12. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Harlem,

  Hii ni website ya Great Thinkers. It's very shame for GT member to ask such a shallow question!
  Hii inaonyesha tu kuwa wewe siyo GT wala mfuatiliaji wa maswala ya Siasa na Kijamii. Huwezi kuniambia kuwa hujui Tundu Lissu ni MB wa jimbo gani. Ukiambiwa ni wajimbo fulani leo,kesho utauliza ni wa Chama gani n.k.,n.k!

  Kwa taarifa yako tu Tundu Antipas Lissu ni MB wa Singida Mashariki kupitia Ticket ya CHADEMA.Tundu Lissu vilevile ana wadhifa wa Chief Whip Bungeni upande wa kambi ya Upinzani.

  Pse don't be lazy to think.
   
 13. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,209
  Likes Received: 3,622
  Trophy Points: 280
  Na kesi iliyomfanya ajulikane zaidi kitaifa ni ile ya Bulyankulu(correct me if i'm mispell)alipoibuka kuwatetea wakazi wa mji huo waliofukuzwa na kunyang'wanywa ardhi yao na walowezi waliopewa kibali na Rais wa TZ wakati huo Ben Mkapa;MB Lissu anadai hadi leo kuwa serikali iliwafukia tena wakiwa hai kwa kutumia matinga tinga baadhi ya wakazi wa mji huo waliokuwa wachimbaji wadogo!
   
 14. i

  indiaruwa Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usikasirike!! Watanzania wengi ni wavivu kufikiri; kusoma; na kusimamia haki zao. Hii huwa ni sera ya makusudi ya ..M kuwajaza waDANGANYIKA ujinga ili waendelee kutawala daima. Shule za kata zintoe elimu au zinajaza wnafunzi ujinga??? Amkeni WaDanganyika. Oneni Wazenji Milioni moja wana Wabunge Zaidi Ya Wadnganyika Milion 40 Upo hapo???
   
 15. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Huyo bwana msishangae akiuliza G lema ni mbunge wa wapi,wa2 muwe wafuatiliaji kama mimi.
   
 16. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wanachezea lissu hao, kamalza kesi ya ubunge juz kat, jmbo la ilemela dhid ya wapambe wa diallo kumuwekea pngamiz mh. Kiwia, hao tena wanamhtaj, wasubir atawafikia!
   
 17. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Makoye et all,

  Swali langu lililenga kuuliza kama huyu bwana mbunge wa jimbo au wa mahakamani! Nadhani bado anajichukulia kama advocate sio mbunge!
   
 18. B

  BAGENI Member

  #18
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi hakuna kikomo cha kumuwekea mtu pingamizi la ushndi wa ubunge kinachofafanuliwa kisheria? Huku ni kukwamisha shughuli za maendeleo mtu anaweza kufungua kesi hata bada ya miaka 4 kupinga ubunge wa mbunge. This is shameful of the lawyers!
   
 19. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #19
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Jimbo la Sheria

   
 20. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa mtazamo wangu, kufungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi dhidi ya mbunge wa upinzani ni kutafuta kudhulumu haki za wapiga kura kwani chama tawala kina miliki kila kitu i.e msimamizi wa uchaguzi,tume,watendaji wa kata,polisi, usalama wa taifa.
   
Loading...