Nilimwona na kumsikia akitoa ahadi hiyo jana kwenye taarifa ya habari ya TBC. Kwamba atazungumza na uongozi wa chuo cha Nelson Mandela ili kiwapatie ajira vijana wa Arumeru! Kwa mtazamo huu kutoka...
- Ninajiuliza swali moja hawa wote ni Familia moja, sasa wanapochafuana huko Arumeru as they have done, linakuja swali moja kubwa je hawa wanafamilia moja wana siri ngapi zingine hawajatuambia...
WANANCHI wa Kijiji cha Ndola, Kata ya Nsalala wilaya ya Mbeya Vijijini, wamekikataa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kutomchagua mwenyekiti wa kijiji hicho aliyesimamishwa na chama hicho.
Hali hiyo...
Baada ua mtu mzima kuumbuka Tendwa aamua kumvika nguo kwa kuwapiga marufuku kumzungumzia mwl kuwa itajenga chuki na ikisapotiwa na Steven Wasira.
My take
Tendwa nae ni janga la kitaifa
wanabodi Jana nilikwenda Arusha kwa shughuli zangu binafsi. nilikutana na marafiki zangu flani mitaa ya Usa River. wakati tunajadili mambo yetu na badhi ya vijana pale USA tukagusia kidogo swala...
Wadau napenda kufahamu msajiri wa vyama vya siasa nchini anapatikanaje naona utendahi wake unanitia mashaka kama wa PM wetu. Ni kama roboti linalokwenda kwa remote toka magogoni.
Leo Mida hii ya saa nne katika mitaa ya Leganga na Usa-River chama cha ccm kinagawa bendera na pesa kwa waendesha Toyo(pikipiki) na mikokoteni.
Bendera moja unagaiwa na shilingi elfu tano mpaka...
Tanzania ni nchi inayopatikana barani Afrika,ni nchi yenye rasilimali nyingi za kila aina,ni nchi yenye idadi kubwa ya watu,ni nchi yenye makabila mengi,ni nchi yenye viongozi wezina mafisadi,ni...
Nimekuwa nkifualia sana taarifa za habari za TBC(usiku) na nkagundugua kuwa znapendelea CCM.tr 15 na 16 leo katka taarifa ya habar hawaja onyesha kampen za chadema,hii haingii akilini kwani...
Wana JF jana katika mikutano ya kampeni za Ubunge katika Jimbo la Arumeru Masahariki kata ya Maji ya chai,Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amewataka Wabunge wa CCM wakae Arumeru kutafuta Kura...
HUU NI MMOJA WA MICHANGO YANGU KWENYE BAJETI YA ELIMU MWAKA JANA WAKATI BUNGE LIMEKAA KAMA KAMATI.
MWENYEKITI: Ahsante, Mheshimiwa Dkt. Hamisi Kigwangalla!
MHE. DKT. HAMISI A. KIGWANGALLA...
CHADEMA yatikisa vigogo wa CCM-raia mwema
Waandishi Wetu
Arusha
Siyoi Sumari
HALI ya wasiwasi imezidi kuenea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na pingamizi jipya dhidi ya...
Habari za kuaminika kutoka kwa mmoja wa watu walio karibu na Lowassa zimedai kuwa Mbunge huyo wa Monduli, wiki ijayo ataanza rasmi kumpigia kampeni za nguvu mgombea waChama cha Mapinduzi (CCM)...
Jamani wana jf naomba mtusaidie hawa takukuru wapo wapi kwani hapo jua kali sa ivi viongozi wa vikundi vya kina mama nkoaranga ambapo kila kikundi kina viongozi watatu na vipo vikundi 35...
Madaktari wakosa kauli huhusu Dk. Mponda, Nkya
Rais wa MAT, Dk Namala Mkopi
Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), kimesema hawana la kusema baada ya Rais Jakaya Kikwete kuweka wazi msimamo...
Hizi taarifa nimezisoma punde kutoka kwenye blog moja inasema diwani wa kata ya Nkuarua kwa tiketi ya ccm ndg. Emmanue Wangaeli amejiuzuru, na kunatetesi kwamba amejiunga na wapambanaji cdm...
Ndugu wanaJF katika uchunguzi wangu nimegundua majimbo yafuatayo yako hoi kwa vile wabunge wake ni dhaifu:
1. Iringa Mjini
2. Mbeya Mjini
3. Arusha
4. Ubungo
5. Kawe
6. Ilemela
7.Nyamagana
8. HAI...
Tangu wakati Mwalimu akiwepo kwenye madaraka au nje ya madaraka kulikuwa na changamoto kama taifa, na wale wanaotaka tuamini kwamba enzi za Mwalimu kulikuwa hakuna changamoto ni watu ambao...
Wale ambao mmesikiliza hotuba mbalimbali kuanzia mapambano ya uhuru hadi leo, kama kuna hotuba yoyote ambayo unafahamu ilileta mabadiliko ya kisiasa ama kijamii tuwekee hapa.
Hotuba ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.