Wana JF Mi kwa mtazamo napendekeza ktk chama che2 CDM 2015 2msimamishe ZITTO ZUBER KABWE ktk knyang'anyiro cha MR.PRESIDENT cna maana kwamba Mh dkt.SLAA hafai,,ila ni mtazamo tuu....
Wanachama wa CUF zaidi ya hamsini toka kisiwani Pemba (Ngome ya CUF) wamerudisha kadi zao na kuomba kujiunga na chama kipya cha ADC. Wana JF chama hiki kinaelekea wapi?
Source:Blog ya Michuzi.
NEC Yamsafisha Siyoi: Pingamizi La Chadema Latupwa Nje
NEC yamsafisha Sioi (Tanzania Daima)
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemsafisha mgombea wa CCM katika uchaguzi mdogo wa Arumeru...
Ndugu wanajamvi.........kama mmefuatilia kwa makini sasa hivi CCM wanafanya kazi kwa kupingana na habari na maoni ya wapinzani na watu wengine ambao wanagundua mipango yao kabla hawajaitoa kwa...
: Mahanga alikamatwa na masanduku ya kura
Send to a friend
SHAHIDI wa tisa katika kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Segerea, Aziza Masoud (25) ameieleza...
Maneno gani yale uliokiwa unayatoa katika ufunguzi wa kampeni pale Usa river? Ulitutia aibu wanachama wenzako.
Wala hukuwa unashangaa umati woote ule ulikuwa unakushangaa wewe ulikuwa unamwiga...
naomba kujuzwa,kuna uhusiano wowote kati ya chama cha mapinduzi {ccm}na mapinduzi yaliyotokea zanzibar?kama kuna uhusiano mbona hakuna alama yoyote inayoashiria mapinduzi ktk nembo za chama?na...
Na Maggid Mjengwa,
JAMBO moja kubwa ni dhahiri, kuwa Watanzania bado tuna safari ndefu sana kufikia hatua ya kuitwa taifa la kisasa.
Tuyafanyayo mengi bado ni mambo ya hovyo hovyo, na wenye...
Nilisikitishwa na viongozi wastaafu ambao wanapewa heshima na kulipwa pension zao kwa kodi za wananch wote bila kujali itikadi zoa kujishusha na kupigania kundi dogo la vyama vyao.
Nilitegemea...
Top 10 Worst (Best) Money Launderers
The most surprising thing about the following list of the worlds worst money launderers is that, although managing to launder over US$50 billion between...
It was an excitement, that Zitto himself could not hide when he met the only living front line leader, an Africa hero, a liberation hero, President Keneth Kaunda in his Office in Lusaka.
Kaunda's...
Kitendo cha Raisi Mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha mapinduzi BMW kusema uongo mbele ya jamii ya watanzania haimshushi yeye tu heshima bali inadhalilisha cheo kizima cha...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kiliamua kuahirisha mikutano yake ya kampeni kwa siku ya jana iliyopaswa kufanyika katika maeneo ya King'ori, Maroroni naMakiba, kutokana na mgombea wake...
Pamoja na jitihada za kuzunguka kwa mlango wa nyuma na kuwapatia taarifa za ukweli CDM ili kumuwekea ngumu mpinzani wao katika kura za maoni bw sioi sumari, jana tume ya uchaguzi ilitupilia mbali...
Ndiyo wakuu!
Jumamosi jiji la mwanza litakuwa kwenye hekaheka za ujio wa Dr Slaa atakapo kuwa akielekea Chuo kikuu cha SAUT -Malimbe kuongoza kongamano la kitaaluma kwa vijana wote toka vyama...
Jana Leo alimwambia jaji Gabriel Rwakibasila kuwa Malalamiko ya dr Buriani kwa tume yalikua ya uongo kwani agosti 28,2010 aliyodai kuwa Lema alitoa matusi na kauli za kejeli na udhalilishaji...
Hatari iliyoje kwa nchi kama Tanzania kujidhihirisha haina mpango kazi katika taasisi za serikali na hata mashirika ya umma.Tumekuwa mabingwa wa kuunda tume mbalimbali zisizo na mafanikio bali...
Kitendo cha CUF kufunga ndoa na CCM upande wa TZ-Visiwani na kuingia ktk SUK ni ishara tosha CUF sasa ni CCM na sio 'CCM B' wengi wanavyodai,CUF sasa ni pure CCM.Kama hivyo ndivyo kuna haja ya...
Vyombo vya habari vya ITV na TBC zimekuwa zikiwakwaza watazamaji wake kwa kuegemea upande wa chama tawala katika kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru mashariki kwa kuonyesha kuwa ccm ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.