Wabunge vijana wa CCM chachu ya ushindi 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge vijana wa CCM chachu ya ushindi 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makupa, Mar 16, 2012.

 1. M

  Makupa JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nimekuwa nafuatilia michango ya wabunge vijana wa ccm kwa muda sasa, nilichogundua ni kwamba ccm kuna wabunge vijana ambao kwa hakika ndio watakaokuwa chachu ya ushindi 2015. Wabunge hao si tu kuwa wameojesha kuwa na uwezo ndani ya bunge hata kwenye mijadala mingine ya kitaifa , hivyo basi ni jukumu letu kama watanzania tuwape sapati ya kutosha hawa wabunge wafuatao: Filikunjombe, Kigwangala,na Januari,
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  100% perfect.
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nimekuwa nikimfuatilia kwa ukaribu Mhe. Filikunjombe, kwa jitihada zake katika kuwapigania wananchi wa Jimbo lake la Ludewa, na namna Filikunjombe anavyoweza kusimama kidete kwenye maswala ya kitaifa yanayogusu maisha ya wanyonge, all I can say is Filikunjombe is in a wrong party. Filikunjombe njoo CDM achana na hao wana magamba.
   
 4. M

  Makupa JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu wrong party unaimanisha nini
   
 5. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Makupa, unadhani CCM wanawaelewa hao akina January? Hukusikia kwamba Mhe. Malima alipendekeza kingwangala afukuzwe CCM eti amekuwa too vocal! Ndo maana nikasema Filikunjombe is a wrong 'green' party wote na January. CCM huwa hawapendi kukosolewa, mkuu.
   
 6. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,381
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Wanaweza kuwa wazuri, ndiyo lakini kama wamo kwenye mfumo mbovu hawawezi kuwa chachu yoyote. Watanzania sasa wanahitaji mabadiliko, kwa njia iwayo yoyote, kama hao unaodai wazuri wnataka kuwa chachu ya mabadiliko ya nchi hii, wajiunge na makamanda kwa ajili ya ukombozi wa pili wa Taifa letu.
   
 7. HKigwangalla

  HKigwangalla Verified User

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Ukiangalia mambo kibailojia unaweza kuona kwamba tiba inaweza kutokea nje ama ndani ya cell, sisi tuko ndani ya cell na tutaleta mabadiliko kutokea humo humo...at least hii ni imani yangu mpaka hapo watakapoona hawanihitaji kwa kuwa ninawasumbua. Hata hivyo huwezi kutilia maanani sana maneno ya wanaCCM wachache kama huyo uliyemtaja. Yeye ule ulikuwa ni mtazamo wake tu na wala simlaumu. Mimi nasimamia misingi ya CCM iliyoandikwa kwenye founding documents na kufanyiwa mabadiliko miaka ya baadaye
   
 8. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 9,967
  Likes Received: 10,117
  Trophy Points: 280
  Ni kweli ni viongozi wazuri lakini huko waliko ndiko kunakotuharibia taifa letu. hata kama wawe wazuri vipi chama chao hakina mapenzi na wananchi kina mapenzi na maslahi binafsi. So itapendeza wabaki huko huko ili Chadema kitakapochukua nchi kiweze kupata chama cha upinzani chenye nguvu kuepuka chadema nacho kulala. Maana waafrika tunatatizo ukishapata madaraka ndio inakuwa mwisho wa kufanya kazi unaanza kuponda raha.
   
 9. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Yeah naweza kukubali hoja yako kama itazingatia yafuatayo

  1. Wanakazi kubwa sana ya kufanya ambayo ni kupata muafaka wa wapi mpaka (boundary) wataweka baina ya mawazo na nguvu zao mpya versus the old existing dogma as the political arena is now undergoing a serious friction that will never give room for this exercise, so they are really challenged on how to establish new flesh on the old skeleton and them being learners the challenge facing them is even stiffer.

  2. If they can unite towards one major goal named (National interest of which is the most gravious battle) without necessarily abandoning their constituent responsibilities these fellows can reach some miles away......and this will necessitate to increase the number of younger members via their mother party that is preceded with a tough task of narturing them (of which I do not see) as the pool of youth is in turmoil enough not to give them time to reflect on matters like this one (everyone for himself and God for us all status)......support unayotaka tuwape haipo ila huwa inaandaliwa na anayeihitaji, hili jukumu hawawezi kulikwepa wao wakiwa viongozi na after all kama wanainterest hii tunayo-idiscuss
   
 10. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 9,967
  Likes Received: 10,117
  Trophy Points: 280
  Napenda sana uchangiaji wako Muheshimiwa Hamis K, tatizo chama chenu kimejaa unafiki, majungu na ushirikina. Hali inayopelekea kuongoza nchi kwa mazoea na kujali matumbo ya wahusika hatimaye nyinyi mnaotaka tuwaamini kwamba mnaweza kuleta mabadiliko kujikuta aidha mnalazimika kufuata hayo mapungufu hapo juu ama kukaa kimya. Kumbuka ule msemo wa kizungu " If you go to Rome do as Romans do" Ila nina uhakika mkiwa chama cha upinzani tunategemea mtaibana serekali vilivyo maana hao wachumia tumbo ambao ni wengi kwenye chama chenu watakuwa pembeni na taifa letu litakuwa la wawajibikaji
   
 11. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  1. If and only if the cytoplasm and nucleus are in a suitable status to absorb the dose
  2. The half life of the given dose as well has to be considered
  3. What about drug resistivity????
   
 12. c

  chikakatata JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kigwangalla ananifurahisha sana jinsi anavyotokeza wazi kuchangia mijadala kwenye majukwaa ya kijamii. Wenzake nao wangeiga mfano huu, wanaogopa nini?
   
 13. c

  chikakatata JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ole we noumah, unamtandika mule mule LOL
   
 14. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  I real like his attitude....he is not coward in this platform and by doing this trust me his capacity do deal with arguments is getting to its best level

  Waswahili wanasema wenye macho haambiwi tazama


  JF NDO BUNGE LETU SISI NA MCHANGIAJI HATAKIWI KUWA NA HADHI YA UHESHIMIWA

   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Ni kweli kwamba vijana ni chachu ya maendeleo ya taasisi yoyote ile, popote pale duniani.
  Changamoto nyingi za maendeleo imekuwa ikiletwa na vijana.
  Lakini pia itategemea kama hao vijana wanapewa nafasi ya kutosha kuleta maendeleo.
  Kwa ccm itategemea kufika mwaka 2015 kama wale wazee wetu wenye kukumbatia kila kitu watakuwa wameng'atuka ama bado watakuwepo.
  Hata hivyo ccm kama ccm inaonekana wazi ilishapoteza mwelekeo.
   
 16. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  we waone tu hivyo ila wakipata madaraka makubwa au wakielekea uzeena hawata kuwa tofauti na steve wasira
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  imefika wakati watanzania tuchague mtu sio chama
   
 18. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Kuna mambo mawili kama kweli tunataka kuona impact yao.
  1. Kuwaingizi Vijana wengi CCM kwenye ubunge wenye mawazo kama ya akina Filikunjombe, Makamba, Kigwangalah, Lugola
  2. Hao vijana wenye mawazo chanya kutoka ndani ya CCM na kuingia CDM kama hatuwezi kuingiza vijana wabunge wengi huko CCM
   
 19. D

  Davie Member

  #19
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kigwangalla....shida ni kwamba chama mlichopo hakipendi kinakosolewa hata kwa suala ambalo lipo wazi,..ukikosoa inaonekana upo kinyume na wakubwa hata kama unaeleza kitu cha msingi. Ndio maana mchangiaji aliepita anakumbushia malima alivong`ang`ania muwajibishwe hata kwa vitu ambavyo ni vya msingi...kisa mnaenda kinyume na Serikali ambayo ni ya CCM,kitu ambacho si kizuri kwa nchi inayosema inazingatia utawala bora na demokrasia...
   
 20. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Nani alisema Chadema itashinda 2015? Mwaka huo bado CDM itakuwa inajenga chama kupitia uchaguzi
   
Loading...