Wiki ya maji Iringa inatia aibu

Nsaji Mpoki

JF-Expert Member
Nov 5, 2007
396
65
Taarifa zinasema wiki ya maji kitaifa Iringa zimekosa mvuto kabisa. Kwenye ufunguzi leo RC kakosa watu kabisa. Haileweki kama ni watu kuchoka au kuna siasa imeingia. Kama ndivyo iko hatari tarehe 22 mgeni rasmi akapata aibu kabisa. Ni bora Tbl wangejenga darasa hata moja kuliko kugharamia tunachoambiwa kuwa kimetokea leo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom