Vyombo vya habari vya ITV na TBC ni kero kwa wananchi wanaopenda kuona haki inatendaka katika uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki. Vyombo hivi vinaipendelea ccm kwa kuonyesha kwa muda mrefu kampeni zake na CDM Ikionyeshwa kuwa kwa sekunde tena bila ya wasikilizaji, hii ni kudhalilisha uandishi wa habari. ACHENI KUIPENDELEA CCM na CDM NANYIE MJIPANGE SAWA SAWA HATA CCM WAKIGAWA FEDHA WATU WA MERU NI WAELEWA.