Hivi ni kweli serikali ya CCM imepoteza mwelekeo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli serikali ya CCM imepoteza mwelekeo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FireMan, Mar 16, 2012.

 1. F

  FireMan Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wanaJF, kila nikitafakari nashindwa kuelewa serikali ya CCM iliyopo madarakani inatupeleka uelekeo gani?
  Magharibi, kaskazini, kusini au Mashariki? Au ni kama gari lililomshinda dereva na kupoteza uelekeo? Na kama limepoteza uelekeo muda wowote tunaweza ingia shimoni.
  Mimi sielew wanatupeleka wapi hvyo nawasilisha kwenu wanaJF tutoe maoni kuhusu mwelekeo huu.
  Asanteni.
   
 2. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
 3. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Rubani asiye na dira huwa chombo hakifiki kwani hajui aendako!

  Ni mtazamo wangu tuu
   
 4. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  CCM kama MV ISLANDER - NUNGWI ni pale MWANZA.
   
 5. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  We are on good track son, read IMF and World Bank reports regarding Tanzania.

   
 6. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe mbona unauliza majibu! CCM ilishapoteza mwelekeo siku nyingi! na Mh. Kolimba alilisema hili siku nyingi.
   
Loading...