CHADEMA Mkuranga Yazidi Kusomba wasomi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Mkuranga Yazidi Kusomba wasomi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAMBOTA, Mar 16, 2012.

 1. K

  KAMBOTA Senior Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Na Nova Kambota,16 March, 2012Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mkuranga kimezidikujiongezea umaarufu wake kwa kuzidi kusomba wasomi wengi wilayanihumo. Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Mkuranga Bw Jamal Lweiamekaririwa akisema...kwetu haya ni mafanikio makubwa kwani chama sasakinakua kwa kasi na wasomi wanaonekana kukubali mipango, sera naharakati zetu....Mwenyekiti huyo aliyasema hayo mapema leo asubuhi huku pia akitoasalamu za pole kwa baadhi ya wanamkuranga waliofikwa na maafa kutokanana mvua zilizoambatana na upepo siku ya jana , ambapo taarifa za awalizinabainishwa kuezuliwa kwa mapaa ya baadhi ya nyumba za wananchi wawilaya hiyo na nyingine kuangukiw na miti.Mwenyekiti huyo pamoja na mambo mengine pia amezungumzia uchaguzi waArumeru Mashariki huku akisisitiza kuwa ana imani wana Arumeruwatamchagua Nassari kutokana na uwezo wake mkubwa wa kusimamia sera zakimaendeleo.Duru za kisiasa kutoka jimbo la Mkuranga ambalo linashikiliwa na AdamMalima zinabainisha kuwa sababu ya wasomi wengi kuhamia CHADEMA nipamoja na kushindwa kwa sera za CCM za maisha bora kwa kila mtanzaniahuku wananchi wakiendelea kusota kwenye umasikini mkubwa huku viongoziwa serikali hasa wale wateule wa rais Kikwete wakiogelea kwenyeutajiri mkubwa. Baadhi ya wananchi wameenda mbali zaidi huku wakihojikuhusu mgao wa umeme, matokeo mabovu ya shule za sekondari na msingipamoja na huku wakiishinikiza serikali iwalipe malipo ya fedha zakorosho ambazo wamesema bado hawajalipwa.
   
 2. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Na huko ni Uchaggani pia?
   
 3. i

  ibange JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Peoplessssssssssssssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  nawapa hongera kwa kujipanga kuikomboa nchi yetu.
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hakika saa ya ukombozi ni sasa.
   
 6. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Kama ni uchaga basi uko kila kona ya nchi. Tanzania ya leo ukizungumzia ukabila unaonekana ****, kama magamba walivyo. CDM kimeenea kila kona ya nchi hii, toka Mtwara mpaka Ngara. people's power inasonga mbele, nyie kaeni na propaganda za uchaga
   
 7. M

  Malova JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Bora ulivyowauliza na wajibu hao kina NePi
   
 8. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Duh kweli watu wamechoka! Enzi zile magamba walikuwa na msemo kuwa hata wakisimamisha jiwe likachorwa jembe na nyundo wanashinda sasa hali naona imekuwa vice versa maana hapo mkuranga ukichora picha tu ya vidole viwili halafu chini yake ukaandika peopleeeeeeezzzz power halafu kwenye kibox pembeni unaandika VOTE FOR CDM basi unachukua jimbo! Wananchi hata hawatakuuliza jina la mgombea bali chama.
   
 9. commited

  commited JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135  narudia tena kusema hivi "mtu mwenye elimu feki, aliye mvivu wa kufikiri hatoweza kuipenda wala kuilewa cdm. But watu makini na wanao jua nini maana ya kesho.. Wataitunza na kuilinda cdm milele yote". R.i p ccm at mkulanga and the whole country.
   
Loading...