Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wanaJF katika uchunguzi wangu nimegundua majimbo yafuatayo yako hoi kwa vile wabunge wake ni dhaifu: 1. Iringa Mjini 2. Mbeya Mjini 3. Arusha 4. Ubungo 5. Kawe 6. Ilemela 7.Nyamagana 8. HAI...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Tangu wakati Mwalimu akiwepo kwenye madaraka au nje ya madaraka kulikuwa na changamoto kama taifa, na wale wanaotaka tuamini kwamba enzi za Mwalimu kulikuwa hakuna changamoto ni watu ambao...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Wale ambao mmesikiliza hotuba mbalimbali kuanzia mapambano ya uhuru hadi leo, kama kuna hotuba yoyote ambayo unafahamu ilileta mabadiliko ya kisiasa ama kijamii tuwekee hapa. Hotuba ambazo...
0 Reactions
45 Replies
12K Views
Nimenyofoa kipande cha habari iliyopo kwenye gazeti la leo Jumamosi la Mwananchi ili mjionee malalamiko ya Chadema kuhusu kampeni chafu na majibu ya CCM kuhusu malalamiko...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari kuwa waziri mkuu aliyefurushwa na kashfa ya Richmond alikwenda Ujerumani kupima macho ni ushahidi kuwa watawala wetu ni wabinafsi. Namna hii hata madaktari wakigoma hawatashughulika kero...
0 Reactions
2 Replies
968 Views
katika kutuliza hali ya hewa iliyokuwa imechafuliwa na kibaraka wa ccm Hamad Rashid mbunge wa wawi kupitia cuf, kesho mwenyekiti wa cuf ambaye ni Mwenyekiti wa jopo la uchumi Duniani kesho...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hawa jamaa wanaogopa kweli kulipoti Habari za kampeni hususani swaga za CDM kwa kuhofia kupigwa chini na JK kama alivyo mfanya Tido Mhando.Tunamkumbuka sana huyu mzee kwa kuwa mpenda haki na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyumba kuwekwa X marufuku -Lowassa 2006-09-30 09:20:56 Na Boniface Luhanga, Njombe Serikali imepiga marufuku uwekaji wa alama za ’X’ ambao hufanywa na Wakala wake wa Barabara (TANROADS)...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Chama cha Mapinduzi majuzi hapa kimelazimika kufikia maamuzi ya kuwaondoa wazee kutoka kwenye vikao vyao vikubwa vya kimaamuzi baada ya kugundua kwamba uwezo wa wazee wa chama hicho katika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana jf hapa arumeru ukisikia mtu anaseam kura siri yangu ujue kuwa ni kiongozi wa magamba na alikuwa mtu maarufu sana na wanasema wanataka wamwabishe lowasa kwa kumrudisha sioi thika akaendelee...
0 Reactions
1 Replies
995 Views
Ni ukweli ulio wazi kwamba chadema ndio chama pekee cha upinzani kilichobaki ambacho ni mkombozi na mwarobaini wa Tanzania tunayoitaka. Binafsi nazikubali sana harakati za CHADEMA ktk kupinga...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Chama cha Mauaji aka CCM kimeendelea kupata wakati mgumu kwenye kampeni zake za ubunge jimbo la Arumeru Mashariki baada ya kukosa watu kwenye mikutano yake ya kampeni,leo jioni nilipita kata moja...
5 Reactions
100 Replies
10K Views
Gazeti la Rai limeripoti kuwa chama cha CDM kinakipeleka puta chama cha mapinduzi huko Arumeru kutokana na mikutano ya CDM kuhudhuriwa na umati mkubwa wa watu katika maeneo ya vijijini tofauti na...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Vijana wa CCM waliovalia kombati za chadema kuanzia wiki iliyopita wamekuwa wakipita na kugawa fedha kiasi cha shilingi 30,000 hadi 50,000 kwa vijana wenye pikipiki katika maeneo ya usa, tengeru...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Sasa hivi Nassari anaomba kura kwa kubeba vichanga mbona hakufanya hivyo kabla ya kugombea?
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Janga la dawa za kulevya bado ni changamoto kubwa nchini hasa kutokana na kuwako kwa taarifa za kukamatwa kwa kiasi kikubwa cha bidhaa hizo mara kwa mara ambazo ama zilikuwa zinaingizwa nchini kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mengi yamesemwa kumhusu Mwenyekiti wa CUF Mh. Ibrahim Lipumba kutokana na safari yake ya Marekani. Ukweli ni Kwama, Dr. Lipumba alituma maombi kuhudhuria National Endowment For Democracy...
5 Reactions
62 Replies
9K Views
Ikumbukwe kuwa hakuna hata siku moja binadamu atatosheka na pesa. Huyo jamaa bado anatafuta pesa, kuna kitu anataka huko Meru ndo maana anataka kuweka mtu wake. Ikumbukwe kuwa aliweka mtu wake...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika mazungumzo yetu leo kuhusu sakata la Vincent Nyerere na Mkapa daktari mmoja rafiki yangu wa Muhimbili amenidokeza kwamba ugonjwa wa ngozi alioupata Dr Harrison Mwakyembe unafanana sana na...
3 Reactions
78 Replies
8K Views
Wakuu heshima mbele. Mwenzenu katika mihangaiko yangu ya kusaka mkate wa kila siku, Leo nimeshangazwa na sheria za wilaya ya Chato au sijui ni Tanzania nzima?na sijui hii sheria Bunge la JMT...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom