Updates: Kesi ya Mpendazoe v/s Mahanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Updates: Kesi ya Mpendazoe v/s Mahanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Jun 7, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Na Rehema Mohamed

  MAHAKAMA Kuu imetupilia mbali ombi lililowasilishwa na Mbunge wa Jimbo la Segerea Dkt.Makongoro Mahanga na wakili wa serikali, Bw.David Kawaya, la kutaka mahakama hiyo ifute kesi ya kupinga matokeo ya ubunge katika jimbo hilo.

  Mlalamikaji katika kesi hiyo ni aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA, Bw.Fred Mpendazoe.

  Uamuzi wa mahakama ulitolewa jana mahakamani hapo na Jaji Profesa Ibrahim Juma.

  Jaji Juma aliwapa muda wa siku 14 mawakili wa Bw.Mpendazoe kufanyia marekebisho hati ya madai ili kesi hiyo ianze kusikilizwa.

  Marekebisho hayo ni pamoja na kuondoa vituo vya kupigia kura ambavyo vilikuwa eneo la Buguruni, Tabata na Kipawa ambavyo katika hati hiyo, havikutajwa mahali halisi vilipokuwa, ambavyo kasoro yake ilikuwa ni kutohesabiwa kura zake.

  Ilielezwa kuwa katika hati ya madai kuna baadhi ya aya zimefumbwa hivyo itampa shida mlalamikaji katika kuandaa utetezi wake.

  Kesi hiyo itajwa Juni 22, mwaka huu tayari kupangiwa tarehe ya kusikilizwa.

  Mei 25, mwaka huu wakili wa Dkt.Mahanga ,Bw.Jerome Msemwa na Bw.Kawaya waliwasilisha mahakamani hapo maombi ya kutaka kufuta kesi hiyo kwa madai kuwa hati ya kesi hiyo ina kasoro za kisheria.

  Bw.Mpendazoe katika madai yake anaitaka Mahakama Kuu itengue ushindi wa Dkt. Mahanga kwa kuwa taratibu za Sheria ya Uchaguzi ya Mwaka 2010 hazikufuatwa.

  Kabla ya kuahirishwa kwa kesi hiyo, yalitokea mabishano makali ya kisheria, ambapo, wakili wa Bw. Mpendazoe, Peter Kibatala na wa mlalamikiwa (Dkt.Mahanga), Bw.Jerome Msemwa ambaye aliiomba mahakama kufute shauri hilo.

  Alidai kuwa Bw.Mpendazoe hakufuata taratibu wakati wa kufungua kesi hiyo, ambapo ilitakiwa ianze kusikilizwa kasoro zote za kisheria mbele ya Msajili wa Mahakama Kanda na baada ya hapo ifikishwe kwa jaji.

  Alidai kuwa kutokufanya hivyo, kunakiuka kifungu cha 8 kidogo cha (1) cha sheria ya uchaguzi ya mwaka 2010, ambapo jalada linatakiwa kufikishwa kwa msajili ili kusikiliza kasoro za kisheria au makosa mbalimbali ili yafanyiwe marekebisho kabla ya kufikishwa kwa jaji kusikilizwa.

  Pia, wakili huyo alidai kuwa katika hati yake ya malalamiko Bw.Mpendazoe hakutaja majina ya vituo ambavyo anadai vilifanyiwa uchakachuaji wa kura na kwamba hakuna maelezo ya kutosha hivyo mahakama ifute kesi hiyo.
   
 2. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wanasheria wetu wakati mwingine wanashangaza, wanataka haki ya mtu ipotee tu kwa kosa la kiufundi ambalo linaweza kusahihishwa!
   
 3. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  freedom is coming
   
 4. B

  Bagumako Yoweli Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesi no.96 ya 2010 ambayo iko kwa Judge Pro. Ibrahim Juma ya kupinga matokeo ya ubunge Jimbo la Segerea ,itaendelea kusikilizwa kesho kwa upande wa mashitaka kupeleka mashahidi.Kesi hiyo ambayo imekuwa ikiwekewa mapingamizi mengi hatimaye imefika mahali pa kuridhisha.:lol:
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Tunaomba haki itendeke!! Hizi dharau za viongozi za kutaka kutuongoza hata kama hatuwataki ifike mahali tuwakatae kwa nguvu zote. Haiwezekani watu zaidi laki na sabini, mtu mmoja tu ndiyo awafanye majuha. Shame on the man who decided to violet the rules!!
   
 6. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ushindi wa kulazimisha ukomeshwe kabisa. Huyu Makorongo hata mtaani kwake segerea hawakumchagua, tulimkataa yeye na chama chake. Akajipigia kura mwenyewe na kuzijaza kwenye masanduku ya makanjanja. Wananchi wakamkamata nao, polisi magamba wakamwachia. Hatumtaki jimboni kwetu.
   
 7. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Si mumpe ile mbeya style tu kama analazimisha kuwaongoza wakati hamjamchagua
   
 8. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  COURT TO HEAR MPENDAZOE’S PETITION

  By JOYCE KABIGI, Tuesday March 06, 2012

  THE High Court on Friday rejected the application filed by the Attorney General objecting the application made by Fred Mpandazoe (CHADEMA) that was challenging last year’s elections results for Segerea Constituency.

  In his ruling on Friday in Dar es Salaam, Judge Ibrahim Juma said that the petition can not be dismissed because it does not have any errors as suggested by the respondent.

  In the past, the court ordered the application to be amended after detecting some errors which made the respondents fail to prepare their defence.

  After amendment of that application, the AG and Electoral Commission brought two objections before that court and prayed that the amended application be dismissed because it was erroneous.

  The error was on the additional complaint which was against the court order. According to the respondents, the application should have mentioned electoral supervisors who announced the results without counting all the votes.

  The case is against the current Segerea Constituency Member of Parliament, Makongoro Mahanga, the Attorney General and the National Electoral Commission.

  Mpendazoe who filed the case number 98 of 2011 complained to the court that election procedures flouted electoral laws and the whole exercise in the constituency was flawed and inappropriate.

  Mpendazoe further complained that the process of collecting votes, tallying of votes and announcing the results was also against electoral laws.

  According to Mpendazoe, the court should nullify the Segerea’s results and call another election or automatically declare him the winner.


  SOURCE:
  [FONT=&amp]DAILY NEWS
  [/FONT]
   
 9. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Biashara yake imeisha huyo . Nafikiri anajuta maisha yake yote , aliwaamini wakina 6 na mwakyembe sasa wamemwachia manyoya .kweli nimeamini LIFE IS NOT A LUMP OF SUGAR.
   
 10. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi. Kesi ya Lema inapata coverage nzuri hapa JF kunakuwa na updates kila baada ya nusu saa kutoka mahakamani Arusha. Lakini hii ya kamanda mpendazoe vipi! wana CDM mlioko Dar kwanini hamtuhabarishi. tunasikia kuwa makongoro kashikwa saburi kwenye kesi hii. Tunaitambua kazi nzuri inayofanywa na Peter Kibatala (wakili wa Mpendazoe) tujulisheni kama anavyofanya nanyaro Arusha
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Namkubali sana mheshimiwa Mpendazoe yupo makini sana.
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  ukisikia kuchanganyikiwa ndo huko sasa. Yaani mlalamikaji anashinda kesi kwa kuomba badala ya haki kufuatwa? CHADEMA msaidieni ni mwenzenu apate kupeleka mkono kinywani Mbona Slaa Katibu mkuu mnamhifadhi vizuri tu. Hizo kelele ni wazi sasa njaa inafikia mahala pake.
   
 13. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hapa ndo unapoona wanaoshindwa mahakamani ni kwa sababu ya ujanja wa mawakili wetu na sio kwamba hawana haki.

  Fikiri tuu kwamba AG anataka kesi ifutwe kwa sababu ya error kama hiyo. . . Na angekuwa jaji wa ajabu angeweza

  kukubali. . .
   
 14. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wewe ni mfatiliaji wa kesi za uchaguzi tu?
   
 15. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  zote hata za wezi wa kuku ili hali watafuta haki yao iliyopkwa na mafisadi
   
 16. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hili nalo neno kwa kweli...Watu wa Dar tujuzeni.
   
 17. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Mpendazao yuko sahihi kabisa. Ukweli ni kwamba yeye andiyo alikwa mshindi Ubunge jimbo la Segerea.
  Makongoro Mahanga alishinda kwa KUBEBWA na NEC na si vinginevo. Kama haki itatendeka fairness kwenye ruling ya kesi hii basi Fred Mpendazoe ni MBUNGE halali wa Jimbo la Segerea kwa tiketi ya CHADEMA.

  Hata kama Uchaguzi utarudiwa leo Makongoro Mahanga hawezi kuona ndani kwa Fred Mpendazoe.

  Tujikumbushe namna matokeo yalivyokuwa na kutangazwa na NEC baada ya uchakachuaji wa kutisha. Tofauti ya Mahanga na Mpendazoe ni 4% tu,margin ambayo ni ndogo sana ukichukulia kwamba Mpendazoe alikuwa ni mgombea asiyejulikana Dar/Segerea akitokea Shinyanga!

  [TABLE]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #b1c3d9"]2010 Presidential Election Results - As receveid by NEC
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Presidential Candidates:

  [TABLE]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #cccccc"][TABLE="class: norm"]
  [TR="bgcolor: #ffffff"]
  [TD]
  UPDP
  [​IMG]
  DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA
  [/TD]
  [TD="width: 100"]
  CCM
  [​IMG]
  KIKWETE JAKAYA MRISHO
  [/TD]
  [TD="width: 100"]
  APPT - MAENDELEO
  [​IMG]
  KUGA PETER MZIRAY
  [/TD]
  [TD="width: 100"]
  CUF
  [​IMG]
  LIPUMBA IBRAHIM HARUNA
  [/TD]
  [TD="width: 100"]
  TLP
  [​IMG]
  MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT
  [/TD]
  [TD="width: 100"]
  NCCR-MAGEUZI
  [​IMG]
  RUNGWE HASHIM SPUNDA
  [/TD]
  [TD="width: 100"]
  CHADEMA
  [​IMG]
  SLAA WILLIBROD PETER
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  Search By: [TABLE]
  [TR]
  [TD]Election Type
  [/TD]
  [TD]Presidential Parliamentary
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Region
  [/TD]
  [TD]Please select the region ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KASKAZINI PEMBA KASKAZINI UNGUJA KIGOMA KILIMANJARO KUSINI PEMBA KUSINI UNGUJA LINDI MANYARA MARA MBEYA MJINI MAGHARIBI MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA TANGA
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]District
  [/TD]
  [TD]MANISPAA YA ILALAMANISPAA YA KINONDONIMANISPAA YA TEMEKE
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Consituency
  [/TD]
  [TD]ILALASEGEREAUKONGA
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Ward
  [/TD]
  [TD]BUGURUNIKIMANGAKINYEREZIKIPAWAKIWALANISEGEREATABATAVINGUNGUTI
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: arc90_altrows-Blue"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #b3d5e6, colspan: 4"]DAR ES SALAAM

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #b3d5e6, colspan: 4"]MANISPAA YA ILALA
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #b3d5e6, colspan: 4"]SEGEREA
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%, bgcolor: #b3d5e6"]Candidate
  [/TD]
  [TD="width: 20%, bgcolor: #b3d5e6"]
  Political Party
  [/TD]
  [TD="width: 20%, bgcolor: #b3d5e6"]
  Number of Votes
  [/TD]
  [TD="width: 15%, bgcolor: #b3d5e6"]
  Percentage Votes
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]DR. MILTON MAKONGORO MAHANGA
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  CCM
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]43,554
  [/TD]
  [TD="width: 15%"]41.7
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]MPENDAZOE FRED TUNGU
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  CHADEMA
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]39,150
  [/TD]
  [TD="width: 15%"]37.49
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]KIMANGALE AYUBU MUSSA
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  CUF
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]18,737
  [/TD]
  [TD="width: 15%"]17.94
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]MARTHA PETER NDAKI
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  APPT - MAENDELEO
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]419
  [/TD]
  [TD="width: 15%"]0.4
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]YUSUF HAMIS SALUM
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  SAU
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]288
  [/TD]
  [TD="width: 15%"]0.28
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]ASIA DISMAS CHALE
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  JAHAZI ASILIA
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]220
  [/TD]
  [TD="width: 15%"]0.21
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]HAULE JAMES LAMBILEKI
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  TLP
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]206
  [/TD]
  [TD="width: 15%"]0.2
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]AMINA DADI LITAKA
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  UDP
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]160
  [/TD]
  [TD="width: 15%"]0.15
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]RUKIA ISSA MWENE
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  UPDP
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]96
  [/TD]
  [TD="width: 15%"]0.09
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]KAGIMBO ANGELINA FRANK
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  NRA
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]88
  [/TD]
  [TD="width: 15%"]0.08
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"]MAIMU WINFRIDA OMAR
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]
  UMD
  [/TD]
  [TD="width: 20%"]74
  [/TD]
  [TD="width: 15%"]0.07
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"][/TD]
  [TD="width: 20%"][/TD]
  [TD="width: 5%"][/TD]
  [TD="width: 15%"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 10%"]SPOILT VOTES
  [/TD]
  [TD="width: 20%"][/TD]
  [TD="width: 20%"]1,444
  [/TD]
  [TD="width: 15%"]1.38
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 10%"]TOTALS
  [/TD]
  [TD="width: 20%"][/TD]
  [TD="width: 20%"]104,436
  [/TD]
  [TD="width: 15%"]100
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 30%"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 18. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuna kila dalili hapa za jimbo hilo kuwa wazi...Wacha tuvute subira.
   
 19. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Ndahani ni utofauti wa kesi zenyewe.....ya Mpendazoe ni ya ulalamikaji na ya Lema ni ya kulalamikiwa
   
 20. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  ya Lema ni ya kutunga ya mpendazoe kila mtu alishuhudia au kusikia mahanga alivyokimbia na masanduku ya kura.
   
Loading...