Arusha Town wanavyo wasupport wana Arumeru kwenye kampeni

CHEMPO

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
368
59
Ukiwa arusha mjini unaweza fikiria kuwa ni meru....ila watu wameamua kuwasapot arumeru wapate chaguo sahihi...kuanzia hiace mpaka gari ndogo zimefugwa bendera za chadema....watu wamepiga skaf za chadema....wamama wamepiga heren na sendal zenye rangi za chadema,,achilia mbali kofia kwa vijana,,,yote haya yanafanyika watu wakiendelea na shuhuli zao za kujitafutia rizki......nachojarib kuuliza wapenz wa ccm wako wap arusha mjin?
 
Hao ni washabiki sio wapiga kura . I feel sorry 4 u ndg zangu magwanda.
 
Mie mbona niko Arusha wala ulichoelezea hapo hakipo ? au ndio umeamka usingizini mazeeee:lock1:
 
Niliuliza sana kuwa mbona hakuna hiace hata moja yenye bendera ya ccm sikupata jibu.
Nikajipatia jibu sahihi kuwa kumbe wananchi wamepevuka akili, wanajua kuwa kujitambilisha kuwa mwana ccm ni sawa na kujipaka kinyesi.................... Go to hell ccm go go!
 
Pamoja na ccm kutoa fedha kwa yoyote anayevaa nguo za rangi zao. Zinazotolewa bure watu hawataki kusikia..maana ukikutwa na kanga 3000/- inakuhusu.....ukikutwa na kofia 5000/- inakuhusu...lakini kwa chadema ni tofaut...watu wanajinunulia mavazi kwa gharaza zao
 
Baadhi ya watu wa meru wanaishi mjin nikiwepo mimi.na hiyo tarehe moja tunaenda kupiga kura meru kwa nauli zetu...tunaenda kukipigia kura chadema
 
Mie mbona niko Arusha wala ulichoelezea hapo hakipo ? au ndio umeamka usingizini mazeeee:lock1:

Wewe hauwezi kuwa Arusha, na kama kweli upo Arusha basi unajifungia ndani. Vinginevyo usingethubutu kuandika ulichoandika hapa. Au ndio propaganda zenyewe na unadhani zitageuka ukweli?
 
Wewe hauwezi kuwa Arusha, na kama kweli upo Arusha basi unajifungia ndani. Vinginevyo usingethubutu kuandika ulichoandika hapa. Au ndio propaganda zenyewe na unadhani zitageuka ukweli?

achananae huyo kama anakataa kuelewa ni mfanyakazi wa ndani huyo!
 
Ukiwa arusha mjini unaweza fikiria kuwa ni meru....ila watu wameamua kuwasapot arumeru wapate chaguo sahihi...kuanzia hiace mpaka gari ndogo zimefugwa bendera za chadema....watu wamepiga skaf za chadema....wamama wamepiga heren na sendal zenye rangi za chadema,,achilia mbali kofia kwa vijana,,,yote haya yanafanyika watu wakiendelea na shuhuli zao za kujitafutia rizki......nachojarib kuuliza wapenz wa ccm wako wap arusha mjin?
kumbe na cdm nao wanagawa kofia na tisheti kweli nyani haoni kundule
 
Umewahi kuona cdm wanagawa tshirt,nyie mnatoa bure lakini raia hawataki.ukiona kwa bahati hiace ina bendera ya gambaz ujue kapewa msimbazi afu dereva anaichomoa jioni anafutia jasho
 
Mie mbona niko Arusha wala ulichoelezea hapo hakipo ? au ndio umeamka usingizini mazeeee:lock1:
Mkuu nami nimepiga kambi hapa Arusha. Alichokisema jamaa ni kweli shamra shamra za CDM hapa ni kubwa. utakuta pikipiki na hiace zina bendera za CDM na mida ya jioni huelekea kwenye kampeni huko Arumeru. Tatizo ni kwamba unaweza kukuta wanaojaa kwenye kampeni ni wa kutoka Arusha mjini siku ya kupiga kura hawatakuwepo. Nimeongea na vijana toka maeneo ya makao mapya wanasema huwa wengi wao wanadamka asubuhi kwenda kwenye kampeni. Nilipowauliza kama watapiga kura wakasema wao ni wapiga kura wa mjini.
 
Hao ni washabiki sio wapiga kura . I feel sorry 4 u ndg zangu magwanda.

Pole sana wewe ndugu Bucho ambaye huoni ni jinsi gani CCM inavyoelewa kwa sasa... sijui upewe miwani gani? Tatizo la kuwa sisi mashabiki vijana wa Chadema siyo wapiga kura litaisha muda si mrefu. Vijana tumegundua wapi tulipokosea... yaani ni kweli wengi hatukujiandikisha kwenye daftari la kupigia kura. Unachosahau ni kuwa vijana tumehamasika sana ndani Chadema na ndiyo mtaji mkubwa sana utakoiangusha ccm 2015. Vijana tunalisubiri kwa hamu sana daftari hilo, na tumehasika sana kujiandikisha ili tuweze kubadili sura zenu ccm wezi, waporaji wa ardhi za babuna baba zetu, mafisadi, magamba, n.k
 
shamrashamra ni kubwa sana lkn hofu yangu kubwa ni jeee watapiga kura?maana vijana wengi hawana vitambulisho vya kura na wengine wako arumeru lkn walijiandikisha jimbo la arusha! Unajua kipindi kile watu walikuwa hawajawa na mwamko wa kisiasa kwa hivyo watu walijiandikisha sehemu yeyote ili mradi wapate kile kitambulisho!Mungu asaidie wale wenye vitambulisho wapate mwamko wa kweli wakapige kura.
 
kumbe na cdm nao wanagawa kofia na tisheti kweli nyani haoni kundule

sio kwamba wanagawa watu wananunua kwa mapenzi yao lakini ccm unapewa kofia na T shirt halafu na shs 5000/= ili uvae lakini watu wanachukua hela wanaenda kuchangia cdm
 
Back
Top Bottom