CCM tuna aslimia 92.8% ya ushindi Arumeru east ni zaidi ya ushindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM tuna aslimia 92.8% ya ushindi Arumeru east ni zaidi ya ushindi

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mr Emmy, Mar 20, 2012.

 1. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,201
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Tunapenda kutoa taarifa kwa wanachama na wapenzi wote wa CCM nchini Tanzania kuwa chama chetu Tawala tayari kinauhakika wa kuchukua jimbo la Arumeru ki urahisi kabisa baada ya wanaarumeru kuwa na imani zaidi na sera za chama kwani kwa utafiti wa kisayansi tayari tuna ushindi wa zaidi 92.8%. Kampeni zetu zinafanyika kisayansi zaidi kwani zinalenga hasa kundi maalum litakalopiga kura siku ya tarehe moja huku kikosi cha wahamishaji kikifanya kampeni za mtu kwa mtu na kaya kwa kaya.

  Endelea kukipa support chama chako tawala kwa maendeleo endelevu ya Tanzania

  Kuwa mzalendo kwa kuishangilia na kuipa kura yako daima CCM

   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  pumbavu we.we
   
 3. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,201
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  kutukana ukweki ni sawa na kumtukana mzazi wako wa jinsia ya kike
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Achana na kicha.a mkubwa!
  Labda hujui kuwa mwenzetu anatumika vibaya na binadamu wenzie!
   
 5. L

  LULENGO Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda masanduku ya kura bandia kama ni mengi zaidi ya 100 na kama tayari mshahesabu, hiyo sawa,lakini ipo siku mutatamani siem yenu hata isisikike hata masikioni mwenu subirini.
   
 6. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Kama ushindi tiyari 92.8% hiyo blue ni ya nini?
   
 7. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Umeongea ukweli mkuu . Achana na mavuvuzela yasikufundishe uwoga . Hata igunga na uzini yalibisha .
   
 8. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Onesha formular uliyotumia!
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  huu ni msimu wa kideri wahi hospitali
   
 10. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wenzio kama wewe wakiwashwa masaburi, huwa wanawatafuta Ma-Mulla wa kuwakuna na si kuleta uozo humu JF
   
 11. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Huyo aloleta uzi keshatafuna kangeta mida hii,mana naskia ccm wamewaweka kambi,huduma wanayopewa ni mirungi na bange.
   
 12. kande kavu

  kande kavu JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 13. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Yaani ilivyosema 92.8% moja kwa moja nimejua ni cooked story kama za marehemu Tariq Aziz liyewahi kuwa mtu wa propaganda kuwahi kutokea duniani.
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Akili za Mwanaasha hizi! Hebu tuondokee hapa!
  Eti utafiti wa kisayansi! Nyie wapumbavu na sayansi wapi na wapi? Labda uniambie utafiti wa kigagula hapo sawa!
  Nyie wote akili zimejaa kinyesi hamwezi kufanya utafiti wa kisayansi!
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sishangai, unaweza kukuta masanduku ya kura tayari ya ihizo kura

  tatizo kubwa nilionalo kwenye kampeni za chadema ni ushabiki kuliko tekniks za ushindi
   
 16. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  asante kwa uelewa wako kakaangu.
   
 17. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,201
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
   
 18. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,201
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Matusi hayasaidii wana chadema bali mnachotakiwa na kubadilisha mbinu zenu za kampeni angalau muambulie 5% ya kura zitakazopigwa mkiendeleza matusi tutawaonesha kuwa sisi ni chama dume na kinachounda serikali
   
 19. e

  eliceco Member

  #19
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Upuuzi wa namna hii hauvumiliki, hawa jamaa hawakawi kuwafokea askari kwamba hawasaidi, watanzania 92.8% hatuipendi ccm-chama cha majambazi wanaopora mali ya nchi hii. Wana arumeru mashariki fanya kweli, kuleni pesa zao msikatae ni zetu za walipa kodi wa nchi hii, halafu nimesikia LOWASSA anakuje kuleta mapesa chukueni, siku ya 1/4/2012 tunataka mfanye kama zambia. DONT KUBEBA-msiwambie nini mtafanya, wasitufanye sisi watanzania. Tell them (CCM) one day they will regret.
   
 20. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  kwahiyo unataka kuniambia magwanda ni garasha ?
   
Loading...