Prof.Majimarefu avamia kambi ya CDM leganga Arumeru na kusababisha tafrani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof.Majimarefu avamia kambi ya CDM leganga Arumeru na kusababisha tafrani

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by kinganola, Mar 20, 2012.

 1. kinganola

  kinganola Senior Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika hali isiyokuwa ya kawaida,mbunge wa korogwe vijijini prof Majimarefu siku ya leo trh 20March,alikuja mahali CDM walipoweka kambi panapo julikana kama Elephant logde maeneo ya leganga na kuzua tafrani kwa wakereketwa wa CDM.

  Awali Mbunge huyo alifika hapo na kuingia hotel iliyo oposite na kuomba akaitiwe mgombea ubunge wa CDM Bw J.Nassari.

  Kabla Nas hajaja alikuwa kesha onana na kusalimiana na wabunge wengine. Nas alipata ujumbe kuwa anamgeni wake. Alipofika hapo alihamaki kuona ni Prof Majimarefu na kwakuwa hakuwa na apointment nae yeyote alihamaki na kumuuliza anamtafutia nini. Ghafla pakazuka zogo patashika nguo kuchanika na Prof akaondoka na kuelekea kusikojulikana...

  Nawasilisha...
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Duh,sjaipata hiyo ngoja nifuatilie mkuu ahsante kwa Taarifa
   
 3. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,204
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Ama kweli magamba wamepatikana, mpaka wanamleta huyo mchawi? Doh!!! CDM kuweni makini.
   
 4. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maghamba pamoja na ndumba hawawezi kufua dafu Arumeru
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Nassari ita wachungaji wote Arumeru wakufanyie maombi haraka, na hapo ulipokutana naye huyo bwana wachungaji wakapafanyie maombi. Huyo Prof ni mtaalama na mambo mengine kabisa. Hatakiwi Meru, atakausha mazao ya watu!
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  yewomi MCHAWI HUYO KATUMWA
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,807
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ukiona mchawi kawa mbunge, then ujue kabisa wananchi wako desperate
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,171
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Prof. Majimarefu ni mweupe kabisa katika tasnia ya uganga amebaki jina tu. Labda kama alitaka kuleta athari ya kisaikolojia tu kwa Nasari.

  Pamoja na hayo nashauri panel nzima ya ulinzi ya mgombea kuwa na utaratibu maalumu wa kuhoji wageni wanaotakana kuonana na Nassari ili kuepuka maafa yanaweza kutokea siku za usoni.
   
 9. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,171
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Hebu fuatilia utujuze, ukiripoti kutoka Arumeru ni wewe mgeniwetu tehe tehe.
   
 10. Shardcole

  Shardcole JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,541
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Kwa jina la yesu toka pepo mchafu maji marefu kwa mpendwa wetu nassary. Amen. Tulianza na mungu na tutamaliza na mungu.
   
 11. Eric Cartman

  Eric Cartman JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,305
  Likes Received: 872
  Trophy Points: 280
  Maana wakati mwingine hata siku yako binafsi kama ilikuwa miserable kuna post zingine inabidi ucheke na vioja za chaguzi zetu.
   
 12. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Huyu mwanga jamani mkeemeni kwa jina la Yesu
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Mkuu usihangaike kutafuta habari huyo ni mshenzi amejiamulia kupost thread zisizo na ukweli, lipo moja kalianzisha kuhusu Sendeka.
  Bangi mbaya sana
   
 14. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,789
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  Huyo mshirikina alienda kikazi maana ccm wamezoea ndumba.Hata hivyo kama mzee wa Rula alivyoshauri ni vema Nassari kwa sasa akawa na utaratibu wa kuonana na wageni isiwe ovyo ovyo kama alivyoenda!He also need hard prayer,wakiwa na uchawi yeye awe na Yesu
   
 15. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Acha hizo mie huwa nafanya kwanza utafiti
   
 16. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,171
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Soma btn lines, nimekwambia fuatilia ili utujuze na mwisho nikaweka kibwagizo chako ulichokuja nacho kwenye uzi fulani sasa shida ikuwapi hapo mkuu.

  Ninajua ni mtu ambaye upo detailed kidogo ndiyo maana nikasema fuatilia au kil kitu research tu?
   
 17. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa ktk mji wa Korogwe anaabudiwa acha.. Jimbo lile hakushinda kwa sera bali wananchi walimchagua kwa kuhofia kufanyiwa kitu mbaya na huyo PANGA LA SHABA endapo asingeshinda...
   
 18. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,721
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  kesha mtupia majini huyo'aende naijeria kwa nabii joshua yakatolewe chap chap
   
 19. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,589
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kweli CDM mnaongoza kwa udini! Kila kitu,kwa jina la .... Acheni hizo!
   
 20. EPA TZ

  EPA TZ Member

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi pia nipo Arumeru na nilikuwa eneo la tukio, huyu jamaa itakuwa akikuwa na lake jambo; Nassari alimhoji "umekuja kufanya nn hapa? kama n kuloga mm huniwezi sababu nimeokoa" yeye akacheka Nassari akamwambia "toka hapa maana CCM hamna wema na ingekuwa mm ndo nimekuja kwenye ngome ya CCM kama ww ulivofanya nisingetoka salama so nakuomba tokaaaaaaaaaa" eti huyo mwanga sasa ndo kaenda kusema ametishiwa maisha na Nassari:A S 13: wakati sio kweli
   
Loading...