Serikali na siasa za rasilimali watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali na siasa za rasilimali watu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Mar 21, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Serikali yetu imekuwa mstari wa mbele kuleta ma expatriates na kuwalipa mabillioni ya fedha kila mwaka ilhali nchi yetu ina watu mahiri nje ya nchi ambao wangeweza kuzifanya kazi nyingi wanazozifanya hao expatriates uchwara. Tatizo lililopo ni kwamba, watanzania wanafanyiwa majungu na bureaucracy ikiambatana na malipo madogo kiasi cha kuwakatiza tamaa watalamu.

  Tunaomba listi au majina ya vijana angalau 20 tu, na taaluma zao ambao wanaweza kuleta mabadiliko makubwa katika nchi yetu kutokana na uwezo walionao. Hii listi tutaipeleka kwa waziri mkuu pamoja na Rais mwenyewe, ili waone jinsi serikali yetu legelege inavyo poteza rasilimali watu, huku ikifaidisha raia wa nchi nyingine. Ukizingatia rais amekuwa akiwaimiza vijana warudi bila kuangalia sababu za msingi ambazo zinawazuia vijana kurudi. Mtu hawezi kuacha $6,000 kwa mwezi arudi hapa kupigania Tsh. 1.2 Tenesco, wakati expatriate analipwa $15,000 kwa mwezi na marupurupu kibao....tunaomba top-20 names ya kuanzia

  SERIOUSLY, WEKENI MAJINA
   
 2. B

  BARRY JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  1. uhuru1
  2. wabeba mabox
  3.
  4.
  5.
   
 3. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Uhuru1, hapo umenena. Na kusema kweli ni katika sector zote. Mkapa alijaribu kuwarudisha nyumbani wachache, japo waliishia kuwa frustrated. Leo hii marafiki zangu, kwa mfano yule injinia kule Canada aliyetajwa kwenye blog ya michuzi wiki iliyopita, hawataki kurudi Tanzania kwa sababu wataishia kudharauliwa tu na kuchoshwa. Ninajua mfano wa mradi ambao mwekezaji alitoa dola 400,000 kwa ajili ya kufanya EIA, lakini serekali ilimpa mtanzania (mzawa) dola 40,000 kwa ajili ya kazi ya EIA ya huo mradi. Najua angekuwa mtu wa nje angepewa haki yake yote.
   
Loading...