Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hussein bashe mkurugenzi mtendaji wa New Habari corporation anaendesha mchezo mchafu Arumeru Mashariki dhidi ya CDM .Jana wafuasi wa CCM walifunga barabara ya moshi-Arusha eneo la maji ya chai na...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
huwezi amini lakini hili suala linaukweli asilimia 100%,wawakilishi wa ccm hapa chuoni na majina nitayatoa kesho mara baada ya mikakati ya kuwatia nguvuni kukamilika.haijulikani wamepewa tshs...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
makada wa ccm wanaeleza mbinu makini waliyotumia kuishinda chadema kabla ya uchaguzi wa arumeru mashariki. Ile siku ya jumamosi ambapo chadema walizindua kampeni zao pale leganga kulikuwa na...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimetafakari sana baada ya kuona barua ya mzee Butiku (Soma Unawezakuendelea bonyeza HAPA) na kujiuliza yafuatayo. Katika mbio za urais ya mwaka 2005 kundila wanamtandao liundwa na vinara 6 ingawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbunge wa Viti Maalumu, Suzan Kiwanga (Chadema) yuko nje ya nchi kwa matibabu ya moyo hali ambayo imesababisha kesi inayomkabili pamoja na washitakiwa wengine kuahirishwa hadi mwezi ujao. Taarifa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Aliyekuwa mbunge wa Cuf aliyefukuzwa na Baraza kuu la uongozi Taifa kwa kukiuka maadili ya chama na kukimbilia mahakamani, ambaye alikuwa akitengeneza propaganda chafu dhidi ya CUF kwa kutengeneza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi karibuni Julius Malema, kiongozi muasi na mbaguzi wa Umoja wa Vijana wa ANC, ambaye hata hivyo amefukuzwa uongozi na kuvuliwa uanachama amenukuliwa akisema kwamba amepokea salaam za pongezi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wote tunajua kwamba Katika Namna ya Kipee Bunge la Jamuhuri ya Muungano kati ya mwaka 2008 au 2009 lilipitisha kiwango kikubwa sana cha Fedha za watanzania ili kutuliza mtikisiko wa kiuchumi kwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna upotoshaji mkubwa sana unafanyika hivi sasa ambao unafanyika katika namna ya hatari sana, naiweza kuifafanisha namna hiyo sawa sawa na mtu anaesema moto ni joto au upofu ni usingizi...
13 Reactions
68 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa NEC ambaye ni mteule wa bosi wa CCM, anajua fika kwamba ni ukiukwaji wa sheria na kanuni kutorekebisha daftari la wapiga kura la Arumeru Mashariki (kama ilivyokuwa Igunga), lakini...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamani si kama ninachokoza...ninataka kujua tuu hili jina Sioi..hicho ni kiswahili kamili chenye nia hasi. Sasa ndiyo najaribu kuhusisha na uwepo wa hereni kwenye sikio kama vina uhusiano au la...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
...issues za maana ama sizijadiliwe au zisipewe uzito unaostshili hapa ukumbini. Nasema hivi kwa kuwa nimeona trend inayoshika kasi kwa watu wale wale kuanzisha threads ambazo hazina kichwa wala...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
WANANCHI wa Jimbo la Arumeru Mashariki, wameombwa kumchagua mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM, Sioi Sumari ili kumfuta machozi yaliyotokana na kifo cha baba yake mzazi, Jeremiah Sumari...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Title Chronology for Zanzibaris in Tanzania Publisher Minorities at Risk Project Country United Republic of Tanzania Publication Date 2004 Cite as Minorities at Risk Project...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
From CDM: Dr.Slaa, Mbowe, Lissu, Zitto, Mnyika From CCEM: Magufuli, Lowassa,Pinda,Sitta, Membe :juggle:
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani hii serikali inaelekea wapi..!? Coz inaonekana wazinitafika mahari itashindwa hata kuwakipa mishahata wafanya kazi wake.!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CCM sasa wamebuni mbinu mpya ya kudai kuwa mwaka 2005 kweli Lema alishinda lakini wao walipoona atawabwaga mahakamani walimkatia ganja na akapokea na hivyo kutokwenda mahakamani na hivyo wadai...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida,polisi waliokuja wilayani Arumeru zaidi ya 1000 kutoka ndani na nje ta mkoa wa Arusha, wamemuandikia barua ya siri Dr Slaa na kumuomba awasemee tatizo lao la...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
HIZI NI SERA ZA CCM, ARUMERU AU KUNADI MGOMBEA? Benjamin William Mkapa, Rais Mstaafu wa Tanzania, akaacha kando mambo ya kampeni na kukimbia kimawazo na maneno hadi katika familia ya Mwasisi wa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Serikali ya watu wa Saudi Arabia imeipatia serikali ya TZ msaada wa Tende ikiwa ni sehemu ya kukuza urafiki wa jamuhuri hizi mbili. Source Channel Ten news saa moja jioni. My take: kulikuwa na...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom