Ccm yawakusanya wachungaji wa meru gate way leganga hatari hatari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm yawakusanya wachungaji wa meru gate way leganga hatari hatari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by THEO LYIMO, Mar 20, 2012.

 1. T

  THEO LYIMO Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimepokea taarifa kwa mchungaji mmoja kunieleza kuwa jana mchana katibu wa uv ccm taifa na mbuge mmoja wa ccm pamoja na viongozi wangine waliwakusanya wachungaji kama 116 pale gate waya leganga na kuwataka wasikubali chadema ichukuwe jimbo na kuwaomba sana kupiga kampeni kwa siri kwa washirika na baadaye kuwato pesa na kuwaomba namba zao kweli huyo mchungaji ameogopa kwani yeye ni chadema kabisa na alienda kama mamluki na anasema na yeye anataka chedema wawasiliane nae kwa jili ya kuwakutanisha na wachunga kuwapa yote na mikakati yao walio kuwa nao wakati wanatoka pale gate way maana amesema wachungaji hawajakubaliana na ccm kabisa kwa jinsi walivyo ongee baaada ya kkikao hicho cha siri jamani kama kuna yeyote kiongozi amesikia hili naomba atoe ushirikiano ili tuwamalize mchungaji kasema ni hatari tena paka maskofu

  nawasilisha
   
 2. T

  THEO LYIMO Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  John mrema mmesikia hili na timu yako
   
 3. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,540
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  Udaku fc
   
 4. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,247
  Likes Received: 10,414
  Trophy Points: 280
  uzushi tu!
  Huyu mchungaji aliyekupa habari ni baba yake nassari?

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Msifikiri hizi ziara na michango kwenye makanisa ni bure. CHADEMA wasimsubiri baba mkwe maana anaweza asitie mguu Meru ila atalenga mishale toka mbali kama ambavyo anafanya sasa. Atakutana na mchungaji Shinyanga na message/M-pesa itafika Meru bila shida! Takukuru watabaki (na wameshabaki) kwenye mataa. M-pesa hakamatwi mtu!
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  CCM mbona kinahaha kushoto kulia kama mfa maji hivi????????
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  :A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::hand:
   
 8. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,286
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Anataka wavute kotekote?
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mmmmmhh!

  Pole bucho!

  Nawaambieni tena sisiem!
  Hila na mbinu zenu tunazo mifukoni.
  Mbinu mnazo tumia nyakati hii ya uwazi na ukweli nawaambia ni bure kbs!
  Hakuna Mtanzania wa leo mpenda Nchi yake anayesikiliza maneno ya mafisadi wa Nchi yetu.

  Hw tunawahakikishia ya kwamba hapo Arumeru hamtoki na hata mkihonga mpk noti ya mwisho hakika hapewi kura wezi wakubwa!
   
 10. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  hata wakikusanya wachungaji,mapadri na masheikh wote wa Arumeru bado wameru wanamchungaji aliye BWANA wa BWANA na ndiye atakayeokoa roho na maisha yao yasiendelee kuwa chini ya uwakilishi wa ccm
   
 11. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Magamba ndo chanzo kikubwa cha udini hapa tanzania.ccm acheni kumtania mungu atawanyoosha ipasavyo!!!!acheni wa arumeru mash.wacague mbuge wamtakao na sio kuwalazimisha kwa misingi ya udini.
   
 12. only83

  only83 JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Natamani April Mosi ifike..sitaki kusikia hizi propaganda tena,zinanipa presha bure.
   
 13. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari ya kutunga utaijua tu!
   
 14. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama una presha andaa na VIDONGE kabisa mana april 1 huenda ikawa juu.
   
 15. F

  Froida JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Swali moja tuu kwa nini wachungaji walikubali kwenda kukutana na hao mumiani,hawajui watawahypotonise wakakubaliana na wanachotaka wachungaji wazee ,washili vijana wanawake wakikataa kukutana na mumiani wa CCM kwa siri ukombozi wa nchi hii utapatikana maeneo walikokataa hawawezi hata kushinda wameru acheni hizo bwana munaitwa munaenda harafu mnalalamika Kama viongozi wa chadema wamethibitisha wawaeleze wananchi hizo mbinu chafu
   
 16. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hata wakikutana nao,mwananchi wa leo kisiasa hashauriki
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wachungaji walifanya jambo jema sana kufika kwenye huo mkutano, maana wamemwona Iziraili katika sura yake halisi!
  Tena wanatakiwa watoe namba zao za M-Pesa bila kuzikosea ili pesa halali iingie kwenye akaunti zao, maana fedha hizo ni zile wanazoibiwa kila kukicha kupitia matozo ya uwizi ya serikali yao!

  Si unaona siri imefichuka, kwa maana hao watu hawako pamoja na aliyewaita kuwalisha rushwa!
  Jamani oneni jinsi hali ilikofikia, watumishi wa Mungu wanaitwa ili wafungwe midomo mwa kulishwa sumu!
  Tendo la kifo ni zito sana, huwa mtu anapofariki lazima anahangaika sana, ndiyo ya ccm haya sasa!
   
 18. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,920
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Ni kweli and my father is a pastor, juzi alinisimulia huo mwaliko ila wao wamewaambia ccm kuwa ni vigumu kushawishi washirika kanisani waipe ccm kura kwani itikadi ndani ya kanisa kwa waumini ni tofauti tofauti, na wanaogopa kupoteza waumini. Then wakawapatia 20.000/ Hii imekuja ghafla baada ya Lowasa kuonekana juzi jpili maeneo ya kikatiti akiwa na wakuu fulani wa dini.
   
 19. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  twanga kotekote!!!
   
 20. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Siri imefichuka nini?
   
Loading...