Olesendeka amhakikishia ushindi Joshua Nassari Arumeru Mashariki

kinganola

Senior Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
117
Reaction score
30
Nanukuu kauli aliyo itoa mbele ya msafara wa CDM ulio kuwa ukielekea Mererani.JOSHUA UTASHINDA,UBUNGE UTASHINDA NA NINAVYOSEMA I MEAN IT mwisho wa kunukuu...
Wakiwa safarini CDM kuelekea Mererani walikutana na Mh Sendeka ndipo Sendeka aliposhuka kwenye Gari na kutaka kukumbatiana na Dr Slaa,Dr alikataa na kumwita mnafiki,Sendeka alifuata gari alilo panda Nas na kumsalimia kwa kumkumbatia na kutoa kauli za kumhakikishia ushindi...
 
Peleka wizara ya elimu inafaa kwa riwaya ya darasa la tatu watoto kujifunza kusoma!
 
Kwa hiyo alikuwa anamshauri asiende mererani kwasababu atshinda!
Umbea mwingine mazee ..............!
 
Nanukuu kauli aliyo itoa mbele ya msafara wa CDM ulio kuwa ukielekea Mererani.JOSHUA UTASHINDA,UBUNGE UTASHINDA NA NINAVYOSEMA I MEAN IT mwisho wa kunukuu...
Wakiwa safarini CDM kuelekea Mererani walikutana na Mh Sendeka ndipo Sendeka aliposhuka kwenye Gari na kutaka kukumbatiana na Dr Slaa,Dr alikataa na kumwita mnafiki,Sendeka alifuata gari alilo panda Nas na kumsalimia kwa kumkumbatia na kutoa kauli za kumhakikishia ushindi...

Hivi jana baada yakupigwa B>>>>>>>>>>>>>>>>A>>>>>>>>>>>>O pale uwanjani ulienda wapi ?
 
Nanukuu kauli aliyo itoa mbele ya msafara wa CDM ulio kuwa ukielekea Mererani.JOSHUA UTASHINDA,UBUNGE UTASHINDA NA NINAVYOSEMA I MEAN IT mwisho wa kunukuu...
Wakiwa safarini CDM kuelekea Mererani walikutana na Mh Sendeka ndipo Sendeka aliposhuka kwenye Gari na kutaka kukumbatiana na Dr Slaa,Dr alikataa na kumwita mnafiki,Sendeka alifuata gari alilo panda Nas na kumsalimia kwa kumkumbatia na kutoa kauli za kumhakikishia ushindi...

Kwani yeye ndio anayepiga kura au wananchi wa Arumeru East!!!!
 
Umbea mwingine bana kwanza kapambaneni
na Mshumbusi maana kamfanya Silaa kawa zuzu
 
Mie huwa sina chama zaidi ya ukweli. Kwani Sendeka ndiye anaamua nani ashinde au kushindwa au wapiga kura? Chadema haijaishiwa kiasi cha kutegemea baraka za Sendeka. Kama Sendeka anampenda sana Joshua na CDM kwanini bado yuko kwenye chama ha magamba? Just simple logic.
 
Baada ya kufuatilia ni kweli aliutafuta Msafara wa cdm kausimamisha na kumhakikishia Ushindi
 
Kamanda!
Ni labda ufisadi ufanyike kwn ushindi uko wazi.
Raia wameshachoka na ufisadi ulioko madarakani.
Tumechoka jamani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom