Wasira na ajira kwa vijana arumeru mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasira na ajira kwa vijana arumeru mashariki

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by KOMBAJR, Mar 20, 2012.

 1. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  katika kampeni leo wakiwa kijiji cha ngarenanyuki wasira amewahaidi vijana wakimchagua sioi april mosi basi ifikapo julai mosi kupitia mfuko wa tasaf vijana wataanzakunufaika.eti hayo ndiyo mambo ya kiutu uzima
  Mytake:
  1. Tasaf ipo kitambo je hilo la vijana limeanza mwaka huu tu na ni kwa arumeru tu?
  2. Inamaana wakishinda cdm hizo pesa hawatapewa vijana?
  3. Hivi ahadi za staili ambazo zilitolewa igunga zimetelezwa?mwenye taarifa tujuze
  Magamba wameona wamekosa mvuto kwa vijana wanahamua kuwarubuni kwa ahadi za uhongo wizi mtu!wamewashtukia mlikuwa wapi siku zote?
  Source:News ITV
   
Loading...