Wanaosema tunaachiwa MASHIMO Muwapuuze-NGEREJA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaosema tunaachiwa MASHIMO Muwapuuze-NGEREJA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Adharusi, Mar 21, 2012.

 1. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,630
  Likes Received: 3,014
  Trophy Points: 280
  chanzo star tv-habar,anasema watanzania muwapuuze wale wote wanaosema tunaibiwa madin na kuachiwa mashimo,anadai serikali iko makini(atakama kuna viwanja vya ndege katika migodi)
  Mi binafs najiuliza je tunachopata kinalingana na uhalisia
  Iwa mwema
  Wakatabahu
  Adharusi
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Atasema nini si juzi hapa alikuwa huko kuomba fedha za sherehe ya miaka 35 ya CCM na yeye mwenyewe Ngereja alikiri kukilimia fedha hizo,angoje tu bado kitambo kidogo atajikuta lupango huyo
   
Loading...