UTABIRI: CHADEMA Kuparanganyika na kuwa HIstoria, CCM Fanyieni kazi haya......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UTABIRI: CHADEMA Kuparanganyika na kuwa HIstoria, CCM Fanyieni kazi haya.........

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kakakuona40, Mar 20, 2012.

 1. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [h=3]Declaration of Conflict of Interest: Mimi sio mwanachama wa CCM na nilimpigia kura Peter kuga Mzirai 2010[/h]
  Ninawaomba sana viongozi wa CCM na wa kiserikali mfanyie kazi hili wazo langu, kuna kila dalili ya kutokuaminiana imezuka CDM na huu ni wakati wa kukipeleka kaburini chama hiki, nawaomba sana mchakachue jimbo moja la CDM ili uchaguzi mdogo uitishwe, kwa kufanya hivi mtakuwa mmekiathiri sana chama hiki ambacho wapenzi wake wengi ni vijana ambao wengi wao kama bendera hufuata upepo.
  Ninawahakikishia kama mtafanya hivyo na kufanikiwa kuitisha uchaguzi mdogo katika jimbo linalomilikiwa na CDM na CCM kushinda utakuwa ndio mwisho wa hiki chama.

  Ni hayo tu.
   
 2. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,643
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Hivi marehemu huwa anapewa ushauri?
   
 3. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hata shetani huwa hapendi wanadamu wakombolewe anapambana kwa hila zote ili kuwaangamiza, sikushangai kwani wewe ni giza na CDM ni nuru tangu lini giza likapata raha likiona nuru? Ila tambua Tanzania inakombolewa very soon na CCM kinakufa kibudu, sasa mwenzangu utakuwa wapi? umeshaiba vya kutosha? Manake tutaziba mirija yenu yote kama unapiga debe bila kupata kitu nakuonea huruma, tukichukua nchi (2015) utajionea kwa macho yako. Ni hayo tu kama una mengine lete
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,175
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Ebwanaee!!! unanikumbusha enzi za Shehe yahya kwamba atakaye mpinga kikwete atakufa mpaka leo naendelea kusikilizia nani atakufa
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Bahati mbaya dua la kuku huwa halimpati mwewe. Utaishia kuiona CDM ikiimarika zaidi na zaidi kila kukicha na mparaganyiko unaoutabiri huenda unakitabiria chama cha magamba baada ya uchaguzi wao wa ndani.
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Haaa haaaa haaaa haaaa!!!!!!!!!!!!!!

  Vijana wa Nape hawa bana na siasa za fisi kudhani mikono ya binadamu itadondoka akaokote!!! BIG UP sana, wala msiuze sera nyie laleni na kila mkiamka hofu ni CHADEMA tu.

  Nguvu ya umma mbeeele kama tai, msiwasikilize wazembe hawa waliojipanga barazani bila kuchapa kazi. BAVICHA kanyaga twende Arumeru Mashariki kukichinjia Chama Cha Mafisadi huko huko!!!   
 7. L

  LISAH Senior Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utakuwa ni yule accountant au yule PRO aliyefukuzwa CDM
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Umeishiwa!
  Huna jipya!
  Utasubiri sana!.
   
 9. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  tusubiri shehe yahaya afufuke ndio atatuambia nani atakufa maanake shibuda yupo mpaka leo

   
 10. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ntake radhi kaka, mimi sio ccm wala cdm.
   
 11. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo ni Jrnape.
   
 12. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Umeniacha hoi kwa comment hii. Basically CCM ni mfu tayari, utabiri huu hauna tija. CCM waliua rasilimali alizoacha Nyerere, ndiyo maana aliwaita kuwa viongozi wa sasa (1995) ni wapumbavu, hawana fikra na ndio umaskini kuliko vyote duniani.
   
 13. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ushauri huu hauwahusu cdm ni wa ccm .
   
 14. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vijana wenyewe wanaonekana sio creative
   
 15. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Acha kuumiza kichwa kwa mambo ambayo majibu ni rahisi kabisa. Umeambiwa sukuma mlango ufunguke wewe unaomba kalamu na karatasi ili utafute ni kiasi gani force inahitajika na namna ya kuufungua.masikini kichaa anakuja kirahisi anausukuma na kuingia ndani wewe bado unahangaika na sijui newton kaisi gani zitahitajika kusukuma mlango......
   
 16. F

  Froida JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,903
  Likes Received: 1,330
  Trophy Points: 280
  Kama hamkukiuwa miaka hiyo haitatokea kwa hiyo unataka tubaki na Marehemu CCM tuu kama ni hivyo kitakachofuata ni nchi kuingia vitani bora demokrasia ifuata mkondo wake ili hao vijana wasiingie msituni wawe na pakusemea ,hivi unajua hao vijana fuata upepo ndio watakaochukua mitaa,kata na halmshauri wee endelea kuzarau nguvu yao
   
 17. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,482
  Likes Received: 10,709
  Trophy Points: 280
  shibuda kafa kisiasa!

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 18. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ... go and tell it to the birds mkuu!!!

  CHADEMA mbele kwa mbele na kuanze upya operesheni Sangara kote nchini wakati tukiwaondoa VIRUSI AMBAO TAYARI VIMESHAJULIKANA katikati yetu ili tukapige hatua zaidi kwa manufaa ya walalahoi nchini.

  Sote tunajua MAFISADI wanavyoweweseka huko CCM hadi sasa na jinsi gani wanavyowatia presha VIRUSI VYAO NDANI YA CHADEMA vikafanye kazi ili wapate walau kupumua. Lakini ukweli wa mambo ni kwamba nafasi hiyo hawapati tena.


   
 19. K

  KABUKANOGE Member

  #19
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkapa alimuua Nyerere
   
 20. F

  FredKavishe Verified User

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kuna watu mna akili matope ww ni mmoja wapo
  Aisee ni ngumu sana kuikomboa tanzania kuna vilaza waajabu sana hapo utakuta ana kadegree kabatini akili kama sisimizi
   
Loading...