Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ilianza hivi 1..DAI LA KWANZA KURA 14854 HAZIJULIKANI ZILIKOTOKEA WAKATI WA MAJUMUISHO Wakili upande wa mlalamikaji; siku ya kutangaza matokeo ulikuwepo? Hawa: Sikuwepo Wakili: kwanini...
29 Reactions
110 Replies
10K Views
Mwaka jana kipinidi cha bunge la bajeti, tulitajiwa na waziri wa fedha bajeti ya mawaziri matirilioni mengi. Mimi nilijiuliza kuwa fedha hizi zinatoka wapi? Mpaka wizara za nishati na madini na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TABIA MBAYA SANA Kuna wanadam wana akili zilizochoka kweli kweli hawa wenye mashirika ya Tafiti pale wanapofanya tafiti za Kikampeni(sio kisiasa).. Kwa mujibu wa maelezo niliyoyapata kutoka kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tarehe mosi april wananchi wa ARUMERU watapiga kura kumchagua mbunge wao ukiangalia tarehe hiyo ni siku ya wajinga duniani je wanaarumeru watakubali kuwa wajinga kutokana na siku hiyo ili kuchagua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Prof.Ibrahim Lipumba amekanusha kauli hiyo leo asubuhi wakati akifanya mahojiano katika kipindi cha Jambo Tanzania kirushwacho kila siku asubuhi kwenye Television ya Taifa; akijibu swali hilo Prof...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wassira amewambia watu wa karibu yake kuwa amepokea waraka kutoka Vatican unaohusiana na Dr Slaa na kama wakatoliki hawalielewi hilo wafuatilie Vatican.
3 Reactions
106 Replies
12K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kimeanza rasmi kutumia helikopta kumnadi mgombea ubunge wa jimbo la Arumeru Joshua Nasari.Katibu Mkuu wa CDM Dr Wilbrod Slaa ametumia helikopta leo kuzunguka...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Hii inamaanisha halijui hata jimbo analogombea,kwanza aliliita mkoa,pili akaja akaliita Arumeru Magharibi na kumbe ni Mashariki.Amezaliwa na kusoma Kenya,LLB kasoma uingereza na anaishi...
9 Reactions
46 Replies
5K Views
Swali ni kwamba, Lema atashiriki mkutano ujao wa bunge mwezi April Dodoma ama ndio mwisho wa safari na tujiandae tena kwa uchaguzi mdogo? Hukumu ya kesi yake sasa inatolewa Tarehe 5 mwezi ujao...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwamba tunaweza kulinda na kutetea uhuru na ustawi wa nchi hii kwa moyo wa dhati! Kwamba tunaweza kujitolea kujenga uchumi wa nchi hii! Kwamba tunaweza kulinda rasilimali za nchi hii dhidi ya...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Najiuliza kama ningekuwa na ndoto ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM mwaka 2015 ningefanya nini? Ningeeleza mambo ambayo yangewavutia wapiga kura wangu ili wanichague. Ningewasaidiaje...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo kwenye taarifa ya habari nimeshuhudia akionyesha mkutano wa ccm bila ya kuonyesha watu walio hudhuria. Kwani sauti za watu walio kuwa wameudhuria ilikuwa ni ndogo sana. Nakuishia kuchukua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Inasikitisha sana kuona wanasiasa wakiwekeza kwenye uelewa mdogo wa watu. Inakera kuona watu badala ya kuelimisha wanazidi kusambaza ujinga kwa watu wakati wa kampeni. MSEMO KUWA MCHAGUENI...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
huu ni ukweli usiopingika ukibisha utaonekana una matatizo katika chako, huyu jamaa kweli ni prof wa ukweli mungu amempa akili na uwezo mkubwa, leo kuwa ni mtu mweusi pekee kutoka afrika...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mbuge wa jimbo la muheza(CCM) leo amehojiwa na Taasisi ya kupambana na rushwa(TAKUKURU)kwa vitendo vyake ya rushwa wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010 .Na anatazamiwa kupandishwa kesho katika...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Chadema imeipa polisi saa 24 kuwakamata watuhumiwa wote wanaotuhumiwa kuwashambulia viongozi wa Chadema kwenye kampeni za uchaguzi Arumeru Mashariki. Katibu wa chama hicho Dr. Slaa amesema kwa...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Wana JF kila mtu kwa Wakati wake amejaribu japo kwa Kificho au kwa Uwazi kutoa Pongezi kwa Joshua Nassari kuhusu ushindi wa Wazi uliojioesha. MAJI MAREFU: yeye alifika Kambi ya CHADEMA na kuomba...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
[Mods: Hii mnaweza kuiacha apa ijitegemee kama mtaona inafaa, mimi nadhani inafaa ibaki peke yake] Katika uchaguzi wa 2010 kuliibuka tuhuma mbalimbali kuhusiana na hasa kwa nini Dr. Slaa ameacha...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna uwezekano mkubwa wa kutangazwa nafasi wazi nafasi ya Ubunge ya Jimbo la Kibaha Mjini kufuatia kukinai kwa Mbunge aliyepo,Silvestry Koka-CCM.Mbunge huyo amekaririwa mara kwa mara akijuta...
3 Reactions
94 Replies
9K Views
So BAE has finally paid out £29.5m for education projects in Tanzania. The payment was agreed two years ago, as part of a settlement with the Serious Fraud Office (SFO) that brought to an end the...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…