Bajeti ya 2011/2012 ilikuwa mzuka tu

nahavache

JF-Expert Member
Apr 3, 2009
871
246
Mwaka jana kipinidi cha bunge la bajeti, tulitajiwa na waziri wa fedha bajeti ya mawaziri matirilioni mengi. Mimi nilijiuliza kuwa fedha hizi zinatoka wapi? Mpaka wizara za nishati na madini na usafirishaji zikirudishwa ili ziongeze bajaeti. Leo nasikia serekali ilipitisha panga kwenye bajeti za wizara nyingi. Nimemsikia waziri mmoja akisema kuwa, panga kali limepita mawizarani. Bajeti imekuwa ni kama mzuka.
 
Zaidi ya mara mbili. Migao ya mwezi inasuasua hata uendeshaji wa ofisi mbalimbali za umma umedolola.
 
Back
Top Bottom