Hajazaliwa,Hajakulia,Hajasoma na Hajaishi Arumeru

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
Hii inamaanisha halijui hata jimbo analogombea,kwanza aliliita mkoa,pili akaja akaliita Arumeru Magharibi na kumbe ni Mashariki.Amezaliwa na kusoma Kenya,LLB kasoma uingereza na anaishi Mbezi,anatufaa kweli huyu?
Mbaya zaidi hata jina lake halipo katika daftari la kudumu la mpiga kura,alijiandikishia Mbezi...
Ni uendawazimu kumpigia kura mtu ambaye hata yeye hata jipigia kura.
 
Hili la jina lake kutokuwa kwenye orodha ya wapiga kura ni jipya kabisa!!!!
 
Wako wengi sana wabunge wa namna hiyo. Mh Vita Kawawa naye hajazaliwa, hajakulia,hajasoma na wala hajaishi Namtumbo.
 
Hii inamaanisha halijui hata jimbo analogombea,kwanza aliliita mkoa,pili akaja akaliita Arumeru Magharibi na kumbe ni Mashariki.Amezaliwa na kusoma Kenya,LLB kasoma uingereza na anaishi Mbezi,anatufaa kweli huyu?
Mbaya zaidi hata jina lake halipo katika daftari la kudumu la mpiga kura,alijiandikishia Mbezi...
Ni uendawazimu kumpigia kura mtu ambaye hata yeye hata jipigia kura.

Hii ss kali kuliko yaani yy mwenyewe hawezi kujipigia kura?ss ww mbayuwayu unaenda kumpigia kura zimo kichwani kweli?kukipenda hiki chama inabidi uwe na akiri ya mwendawazimu
 
Hili la kutokuwa na uwezo wa kujipigia kura linatosha kuwafanya wana Arumeru kuamua kutokumpa hata nusu kura maana, hafai kuwawakilisha. Mtu asiyejipenda, utampendaje? Hajipi kura, kwanini wewe umpe, kwa lipi????

Ha ha haaa, inachekesha hii!! Nassari hapa amepita kama wana Arumeru wanaakili sawasawa!!
 
sijui unawezaje kujua matatizo ya wananchi wako kama hujazaliwa,hujakulia wala kuishi jimboni mwako.yaani ni kama kaja kuchukua ulaji arumeru halafu akaponde raha mbezi na chimwaga.
 
Zamani issue hizi hazikuwa na uzito sana. Siku hizi kumbe tunagombea tulipozaliwa? Lazima niende ocean road kugombea Ubunge hata kama wapambe wa magogoni watanisogelea. Wengi ni wakuja!
 
john mnyika, sugu na halima mdee nao wana wasifu huo ktk majimbo yao

kweli we mama porojo nakubatiza jina lingine mama mropokaji kama wasira,sugu kakulia na kusomea mby,mnyika naye ubungo ndo kwake na kugombea si mara ya kwanza,halima naye hapo ndo viwanja vyake.haya niambie kuhusu huyo mkenya weko anaijua arumeru mashariki kweli?
 
john mnyika, sugu na halima mdee nao wana wasifu huo ktk majimbo yao

Acha uzushi wako ww magamba kama meno ya mamba,SUGU kwa taarifa yako kazaliwa mtaa wa SAYI na kasoma IYUNGA kakulia sayi na hadi leo wazazi wake bado wako sayi kijiwe chake kikubwa alichokua anashinda na kutunga nyimbo zake kiko stendi kuu ya mabus ya mikoani kwenye kibanda cha maaskari stendi yakiwa yanatoka upande wa kushoto kuna saloon ya kiume mbele yake kwa nyuma hiyo saloon ndo kilikua kijiwe chake hapo na masela wake hadi leo hii sugu anaenda hapo kijiweni kwa masela wako,siku nyingine usipost thread zisizo na utafiti mbayuwai mkubwa ww,nenda songea ukaulize NCHIMBI,KAWAWA walishakua na makazi huko?au hata kusoma tu hao ndo magamba wana sifa za kuweka vipofu
 
Hawa magamba wanachongoja ni kuchakachua tu matokeo ,hao raia tutawalaumu bure tu,

umesema kweli . Rai wa Arumeru watakipa chadema kura halali na itashinda lakini kwa kuwa kazi ya ccm( chama cha mafisadi au chama cha magamba au chama cha mauaji au chama cha mateja) kazi ni kuiba kura hata kwa kutumia nguvu na utekaji ,uaji wa kikatili yanaweza kubadili matokeo kwa nguvu na kushinda
 
Back
Top Bottom