Mbuge wa jimbo la Muheza ashikiliwa Takukuru kwa rushwa

KENNY ROGERS

Member
Mar 2, 2012
6
1
Mbuge wa jimbo la muheza(CCM) leo amehojiwa na Taasisi ya kupambana na rushwa(TAKUKURU)kwa vitendo vyake ya rushwa wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010 .Na anatazamiwa kupandishwa kesho katika mahakama ya Wilaya kujibu tuhuma hizo.
 
Mbunge wa Jimbo la Muheza CCM leo ameshikiliwa na taasisi la kupambana na rushwa Muheza.Na anatajiwa kufikishwa mahakamani kesho tarehe 23.3.2012 ili kujibu tuhuma hizo zinazomkabili.:scared:
 
ajabu la nane la dunia,mbunge wa ccm anashitakiwa kwa rushwa?na mashtaka ya kikwete ni lini?
 
Mbuge wa jimbo la muheza(CCM) leo amehojiwa na Taasisi ya kupambana na rushwa(TAKUKURU)kwa vitendo vyake ya rushwa wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010 .Na anatazamiwa kupandishwa kesho katika mahakama ya Wilaya kujibu tuhuma hizo.

Rushwa ametoa 2010, amekamatwa na TAKUKURU mwaka 2012! Kielelezo imeshaozea chooni! Tanzania hakuna utaratibu maalum, hakuna sheria, hakuna utawala bora
 
Mbona mama Sita alikamatwa na TAKUKURU akiwa na simu 7 pamoja na hela nyingi usiku wa manane lakini aliachiwa huru tu
 
rushwa 2010????? hawa Takukuru wameshuka leo toka mwezini au??????

Heee takukuru si wapo kila wilaya sasa inakuwaje uchunguzi uchukue mwaka na miezi yake kadhaa? Suala la Rushwa si unategeshewa tu unanasa?

Nilidhani kakamatwa Arumeru mashariki kumbe mwaka 2010!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom