Uchaguzi mdogo mwingine wanukia...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Kuna uwezekano mkubwa wa kutangazwa nafasi wazi nafasi ya Ubunge ya Jimbo la Kibaha Mjini kufuatia kukinai kwa Mbunge aliyepo,Silvestry Koka-CCM.Mbunge huyo amekaririwa mara kwa mara akijuta kugombea na kupewa ushindi dhidi ya aliyekuwa mpinzani wake,Habib Mchange-CHADEMA.Koka anadai kuwa muda wa kusimamia biashara zake unakosekana na hivyo anapata hasara kubwa.

Sitajihusisha na swali la 'source' kwakuwa hamnijui siwajui...kila mtu humu JF ana wadhifa/nafasi yake hapa nchini.Mimi ni mpiga kura wa Ubungo ila naishi Kibaha.Kaeni chonjo..
 
kamanda huu si ustaarabu, ww sema kama ww ndo mbunge mwenyewe mh sylvestry!! Utakuwa huwatendei haki wananchi wako kama huwezi kaz achia ngazi!!!
magamba bwana kila kitu mnataka mbembelezwe!
 
Kuna uwezekano mkubwa wa kutangazwa nafasi wazi nafasi ya Ubunge ya Jimbo la Kibaha Mjini kufuatia kukinai kwa Mbunge aliyepo,Silvestry Koka-CCM.Mbunge huyo amekaririwa mara kwa mara akijuta kugombea na kupewa ushindi dhidi ya aliyekuwa mpinzani wake,Habib Mchange-CHADEMA.Koka anadai kuwa muda wa kusimamia biashara zake unakosekana na hivyo anapata hasara kubwa.

Sitajihusisha na swali la 'source' kwakuwa hamnijui siwajui...kila mtu humu JF ana wadhifa/nafasi yake hapa nchini.Mimi ni mpiga kura wa Ubungo ila naishi Kibaha.Kaeni chonjo..
Kwani alipogombea alidhani kuna nini huko?
 
Unanukiaje? Anataka kujiuzuru au kwa njia gani unanukia? Fafanua kidogo hapo.
 
Ubunge hakulazimishwa na kwa kiasi kikubwa ni kwa faida yake binafsi. msaada/manufaa /matunda ya ubunge wake kwa wana kibaha bado hatujauona. kwa hiyo akiachia ngazi ni sawa tu.
 
Mimi uchaguzi ambao najua unanukia kama pafyumu ya Beyonce ni wa jimbo la Gairo. Mbunge wa jimbo hili anasema biashara zake za mabasi zinadidimia kwasababu ya kutumia muda wake mwingi mjengoni Dodoma.
 
Lugha yako inafanana na ya wafuasi wa chama kikuu cha upinzani.

Fisi alisubiri sana mkono wa binadamu kuondoka hadi leo
 
Hoja yako haina mashiko aliyekuambia wabunge wa Tanganyika wako bize kiasi hicho ni nani!?
 
Mimi uchaguzi ambao najua unanukia kama pafyumu ya Beyonce ni wa jimbo la Gairo. Mbunge wa jimbo hili anasema biashara zake za mabasi zinadidimia kwasababu ya kutumia muda wake mwingi mjengoni Dodoma.

Hivi nyinyi mnadhani kuwakatalia wasijiongezee posho mlikuwa mnadhani mchezo? Halafu wakaenda mbali zaidi, Wabunge walidhani pesa za CDF zitakuwa za kwao na kuzitumia kama wanavyotaka lakini kumbe zinapelekwa kwa Mkurugenzi wa hAlmashauri na kuzitumia inabidi kufuata taratibu zote za manunuazi! Nilimsikia Mbunge mmoja akilalama kuhusu hilo.

Maneno ya Mama Makinda yanatimia sasa. Alisema karibu nusu ya wabunge wanataka kuacha ubunge tukamkemea lakini leo tunaanza wenyewe kusema kuwa wanataka kuacha.

Hayo maneno yanaweza kuwa kweli. Kuna wabunge kama kumi hivi tofauti na waliotajwa humu nimewasikia wakisema wanajuta kugombea akiwemo mbunge wa Mwibara. Pia Mbunge wa Rorya naye analalama.

Hata kama hawatajiuzulu lakini jambo moja ni dhahiri nalo ni kwamba watakuwa wakihudhuria tu vikao na hawataonekana majimboni kwa kuwa 2015 hawatagombea.
 
Kuna uwezekano mkubwa wa kutangazwa nafasi wazi nafasi ya Ubunge ya Jimbo la Kibaha Mjini kufuatia kukinai kwa Mbunge aliyepo,Silvestry Koka-CCM.Mbunge huyo amekaririwa mara kwa mara akijuta kugombea na kupewa ushindi dhidi ya aliyekuwa mpinzani wake,Habib Mchange-CHADEMA.Koka anadai kuwa muda wa kusimamia biashara zake unakosekana na hivyo anapata hasara kubwa.

Sitajihusisha na swali la 'source' kwakuwa hamnijui siwajui...kila mtu humu JF ana wadhifa/nafasi yake hapa nchini.Mimi ni mpiga kura wa Ubungo ila naishi Kibaha.Kaeni chonjo..

labda hesabu zake alifikiri atapewa uwaziri??lakini ccm hawawezi kukubali chaguzi ndogo ni hatari sana kwa ccm,angalia arumeru yanayojiri,watafanya kila mbinu asiachie ili wasipoteze jimbo
 
Back
Top Bottom