Stephen Wassira: Nimezipata habari kutoka Vatican na sio Tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Stephen Wassira: Nimezipata habari kutoka Vatican na sio Tz

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sonara, Mar 22, 2012.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wassira amewambia watu wa karibu yake kuwa amepokea waraka kutoka Vatican unaohusiana na Dr Slaa na kama wakatoliki hawalielewi hilo wafuatilie Vatican.
   
 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Aisee, kwa hiyo vatican ndo waliochangisha hela? Ilikuwaje habari za pesa za kumpokea papa ziwe vatican halafu wa tz waliompokea wasizijue? Kweli hii nchi kazi ipo. Kama anadanganya hadi kwenye mambo ya wazi kiasi hiki, je anadanganya kiasi gani katika yale yanayoitwa ya sirikali?
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,552
  Likes Received: 1,899
  Trophy Points: 280
  Duh!Huyu mzee kumbe ni mjinga hivi?

  Halafu ndo watawala hao?Wadanganyika mna kazi.
   
 4. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,928
  Likes Received: 1,461
  Trophy Points: 280
  Kwani wassira hana sera nyingine ya kumsaidia mwananchi?ameona hii ndiyo hoja ya kusimamia?!
   
 5. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Hadi mchango wa mtu wa tatu kwenye thread hii, wote wameamini kwamba alichosema mtoa maada ni ukweli mtupu usiopingika, na wametoa michango yao wakitilia hilo maanani, na bila ushahidi wowote kutoka kwa mtoa maada kuhusu ukweli wa mchango wake. Sasa hapa "Mdanganyika" ni nani? Hii ni hatari sana.
   
 6. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,789
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  Wassira mwacheni jamani ubongo wake umelala kama anavolala bungeni,. uwongo huu hata ukimsimulia kichaa atakkanusha anyway ubongo wa Homo habilis ni mdogo kuliko wa Homo sapiens so sio kosa lake ni genome yake tu ndio tatizo!1
   
 7. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,052
  Likes Received: 3,960
  Trophy Points: 280
  huyu angekuwa Tarime wangesha mpopoa mawe kama Mtikila kule hawataki siasa za vyooni! BTW asisahau kuna Ubalozi wa vatican hapa! Katika hizi dying minutes, siasa za vyooni znaweza kuleta mgogoro na kufanya hata wale wanaofikiria kumpigia Sioi kubadili mawazo na kumpigia Nassari en mass hizi gongo hizi ni nouma sana....
   
 8. p

  politiki JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  waandishi hebu mtusaidie nendeni ubalozi wa vatican mkaulize kama kuna habari zozote walizompatia wassira bila kurishirikisha kanisa katoliki Tanzania njia ya muongo ni fupi yeye anafikiri akisema vatican anafikiri labda ni mbinguni.
   
 9. p

  politiki JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  wasirra anachukua tension yote kutoka kwa SIYOI anachukua yeye kwa kuendelea kutoa kauli zake za ajabu ajabu kama kuna wana ccm waliobakia na hekima hata kidogo ndani ya CCM basi wamuondoe wasirra haraka sana kwani atazidi kuzimaliza kura za siyoi mpaka zibakie mbili
   
 10. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Nyani hata ofisi ya kata anaona ni Vatican
   
 11. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  mbona anafuatilia yasiyomhusu,amekwisha kisiasa huyo,mambo ambayo ni kanisa yanahusikaje na meru? Ivi vkiibuka religion wa c atapelekwa the hague.natangaza vita na wasira tena ya mapanga popote alipo
   
 12. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hana lolote huyo m2,bunda yenyewe keshachokwa kisiasa.Kuna jamaangu yupo california ameanza kumpapasa maeneo ktk maeneo yale
   
 13. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watu ambao wakitulia dakika moja tu wanasinzia huwa siwaamini kabisa. Inawezekana aliyoongea aliota tu. Tumwonee huruma huyo babu wasira.
   
 14. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #14
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Umegundua tatizo ee. Umeona jinsi watu walivyo mbumbumbu na wepesi wa kuamini upuuzi.
   
 15. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Maana yake:
  Taarifa toka VATICAN kwa Pope inafika kwanza kwa WASIRA kisha kwa Polycarp Pengo au Ruwaichi kisha MAPADRE kisha WALEI na mwisho WAUMINI

  Taatifa hizi ni pamoja na "Mitaguso". Hii ni kusema kuwa Wasira ni mwakilishi wa Pope hapa Tanzania. Wakatoliki mpo hapo?

  I am just thinking and plz help me to think right!
   
 16. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,495
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  Hapa kuna matatizo makubwa ya akili na kufikiri, ukiona mtu anashindwa hata kudanganya ...mawili anaona watanzania sisis ni mbumbumbu wakubwa, au yeye ndiyo mbumbumbu mkubwa!
  Ina kuwaje vatican waamue jambo kuhusu padri aliyeko tanzania viongozi wa kanisa katoliki wasijue lolote?..tena jambo lenyewe lina husu jinsi alivyo liibia dhehebu lake nchini kwake??.....kuna uzima hapa kweli!?

  Huyu mzee anaiga jinsi kina Vicent wanavyorusha makombora kwa kina Mkapa, lakini haelewi wale vijana wana akili sana, hawakurupuki.
   
 17. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Huyu diye mshauri wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
  Sijui anamshauri Umbeya Majungu Wizi na Umalaya??

  Si vema kumuacha hivi hivi mtu mshenzi na mjivuni kama Wasira.


  Mtu wa ovyo hana staha mwongo na mwizi hamwogopi Mungu wala ibilisi.
  Huyu Nunda anaogopa Pochi na Kuchacha tu.

  Hatuhitaji kwenda Vatican kuthibitisha maneno yake kma huyu mjinga anavyotaka ifanyike. Kwake Vatican ni mbali sana na ni vigumu kupata ukweli hasa kama wewe si kiongozi wa CCM.

  Hivi huyu **** mtu pamoja na uwaziri wake hajui tuna balozi wa Vatican hapa ambaye ni msemaji wa Vatican nchini Tanzania??
  Balozi wa Vatican kaingizwa kwenye soo hii na huyu Nunda akidhani atakwepa risasi ya ukweli iipigwa kuelekea kichwani kwake.

  Ili kuivunja heshia ya Dr Slaa na mtandao wa upinzani viongozi wa serikali ya CCM imebidi kumwiingiza kwa nguvu Kiongozi wa kitaifa ambaye ni Marehemu katika kujenga hoja yao mfu, pia imebidi kuwaingiz Maaskofu wa kanisa katoliki na baraza zima la maaskofu na hata Papa mwenyewe!!!

  Kweli uongo una gharama,tena gharama kubwa.

   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hahaha kweli mzee ana akili za mbayuwayu, kaona ameminywa alete ushahidi wa alichokisema kaona aongezee uongo mwingine mkubwa zaidi, WASIRA AMEGEUKA SEKRETARI WA POP BENEDICT WA 11
   
 19. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #19
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280
  Habari Leo wanasema Wassira ...ameshawaomba radhi maaskofu...naamini katakiwaa afanye hivo,.....as of Vatican kuwahusisha kwenye siasa za ndani....muwakilishi wa papa atapeleka malalamiko rasmi ikulu na nchi itatakiwa kuomba tena radhi ,that is how uropokaji wa mtu mmoja can cost the country...

  Hapo bado uingereza nao wAna malalamiko juu ya Mwigulu....Ccm iwapeleke viongozi wake kozi za diplomacy
   
 20. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hawa ndiyo viongozi watunga sera na washauri wakuu wa Rais; fikiria taifa linaloongozwa na watu wa aina hii litakuwa na mwonekano gani kwa jamii ya kimataifa.
   
Loading...