Sendeka, Maji-Marefu na Lusinde Haya yanatoka mioyoni Mwenu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sendeka, Maji-Marefu na Lusinde Haya yanatoka mioyoni Mwenu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgeni wenu, Mar 22, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wana JF kila mtu kwa Wakati wake amejaribu japo kwa Kificho au kwa Uwazi kutoa Pongezi kwa Joshua Nassari kuhusu ushindi wa Wazi uliojioesha.
  MAJI MAREFU: yeye alifika Kambi ya CHADEMA na kuomba kuonana na Nassari ili ampe pongezi na Kutoa Mchango wake wa mafuta Laki 5 ambao ulikataliwa vikali na Mameneja wa Kampeni na kuzua Tafrani.
  OLE SENDEKA;yeye alichukuwa hatua ya Kwenda Mikungani Mbuguni kuusaka Msafara wa Mgombea ili kumkaribisha Mjengoni na kukutana Nao njiani ambapo aliusimamisha na kutaka kumkumbatia dr Slaa na akamgomea na kuamua Kumkumbatia Nassari huku akicheka na kukiri kuwa Mmeshinda
  Lusinde: yeye alimpigia Simu Nassari na kusema kuwa Hongera Mgombea wetu hajiwezi na CCM hawataki Maswali tofauti na Nyie CHADEMA mnatoa Fursa hiyo na Siyoi ni spoon Feeding hajiwezi.
  MY TAKE: Hawa mabwana haya yanatoka Mioyoni mwao?
  Nikiripoti kutoka Arumeru ni mimi Mgeni wenu wa Jamii Forums
   
 2. S

  STIDE JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu kwani hawa hawako na Ma-mvi!!?
  Ikibainika lazima LTK wapate kibarua!!
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hawa na mamvi ni paka na chui.2 hel mamvi and ccm
   
 4. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  He! Kweli au si kweli?
   
 5. NOT FOUND

  NOT FOUND Senior Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  maji marefu si ni yule mganga!

  bora wamekataa fedha za tunguli, am sure alitaka kumpiga juju Nassari.
   
 6. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hii ni mind game,ccm ni moja ya vyama hovyo kabisa hapa duniani.Mbinu chafu ndo zinazowawezesha kuendelea kuwepo hai vinginevyo wangekuwa wameshapotea siku nyingi.Kwa hili la ak├Čna sendeka halina maana yoyote zaidi ya mbinu chafu.Mtaona baada ya uchaguzi
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Hayo ni mambo ya kawaida sana kwa watu kama ccm waliokomaa kisiasa.
   
 8. paty

  paty JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,257
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  duu, naona Arumeru , kampeni imekuwa a style yake aisee, tofauti na igunga, kimsingi hawa magamba ni wananafiki sana... swala ki wapotezea tu. hasa huyo mchawi du.. bora izo pesa ilikataliwa
   
 9. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  aluuuu...ushakuwa mwenyeji wetu aiseee
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  mwigulu nchemba anakubali kiaina...kuwa cdm ni kiboko
   
 11. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Siwaamini kabisa magamba.
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Nadhani hapa kuna matatizo mengine ya kimkakati kwa CDM; very grave mistakes!!! naomba kweli washindeee lakini wasiposhinda Arumeru....
   
 13. K

  Kuntakint JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,112
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Maji Marefu hakupeleka pesa ya mafuta alipleka majini, mngeshangaa kama mngepokea. Arumeru mngepasikia tu. Kumbuka kesi ya Mpendazoe inayoendelea dhidi ya Mahanga, Pamoja na akili alionayo lakini kuna wakati alikuwa akiulizwa maswali ambayo ata mtoto mdogo angejibu. Alijikuta akisema hajui, mara amechoka. Usichezee magamba hasa ktk anga za EL na RM wako tayari kutoa roho ya mtu.
   
 14. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Daah mimi hapa napata mashaka, huyu maji marefu nakumbuka siku moja alisema huwa anawapa dawa wagombea wa ccm washinde, so labda ni sehemu ya mikakati yao kutumia nguvu za giza ili siyoi ashinde.
  My take: Chadema wasiwakubali hao jamaa kumsogelea Nassari
   
 15. p

  pazzy Senior Member

  #15
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 194
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwayanayoendelea meru chadema ushindi labda tuukatae wenyewe...yaani tupoteze umakini ktk kuweka mawakala waaminifu nakulinda kura zetu!unawezaje kushindwa na timu Inayoongozwa na mtaalamu wa usingizi kama wasira!au mtu asiyeamini alisemalo kama Lusinde au yule pro wa ile taaluma Isiyo eleweka!vijana wameru wanasema nibora kuongozwana mtu anayejua matatizo na changamoto zinazokuzunguka kuliko kuongozwa na wakuja asiyejua hata miiko na tamaduni zake...pia wanasema utampigiaje kura mtu asiyejipigia yeye kwanza!hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
   
 16. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli siwapendi C.C.M kwani wanakumbatia mambo ambayo ki msingi si faafu tena katika jamii. Wao huwa wanafanya mambo kwa mtindo wa kisengelenyuma na kanyagatwende. Pia wanapenda kukumbatia mfumo mzee kwa kujifanya wanaamini kuwa utu uzima ni busara na busara ni pamoja na mvi kichwani.. Kwa tunaomfahamu vizuri Maji Marefu, hiyo haitusumbui. Tunafahamu tu kwamba yeye hana tatizo na mambo ya fedha. Kwa mfano, wakati fulani alikuwa anamiliki timu fulani ya mpira huko wilayani kwake. Ikitokea kwamba timu yake imefungwa basi huwa hasiti kutoa zawadi kwa timu iliyoifunga timu yake. Pia alikuwa na umiliki wa Coastal ila ikitokea sasa Simba ambayo PROF. Maji ( kama anavyotambulika huko Korogwe)ni mnazi wake mkuu hapo utafurahi. Hata hivyo sina hakika kuwa pesa zake ni za majini, na sifahamu kuwa zinaweza kuleta madhara. Ninachoweza kusema ni kwamba Prof. Maji ni tofauti sana ki mtazamo na wabunge wengine ambao wana shule ya maana. Huyu jamaa ameishia std 4, sasa anachokifanya anajaribu kuwa tofauti na wabunge waliosoma ili apate advantage. Huu ni mfano mwingine: Panapokuwa na mikutano na hafla fulani fulani, huwezi kumkuta anakula chakula high table, utamkuta upande wa madereva na watu wa kawaida kabisa. mara nyingi utamkuta mitaani anapiga stori na hata wasukuma mikokoteni. Kati ya watu wanaojua kuwateka majority ni huyu bwana kwa hiyo kwa upande wangu sijashangaa Maji kutoa hizo fedha kwani yeye kwake mambo ya upinzani ni formalities tu,
   
 17. L

  Logician Senior Member

  #17
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wewe ni Mwanakijiji huyu huyu tunayekufaham au kuna mtu amehack password yako?
   
 18. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60


  Ndgu Mgeni Wetu, Inaonekana unapenda ujiko sana, bila shaka we ni kutoka ile kanda yetu,nikitambo nimependa thread zako, ila sifurahishwi na hiyo sifuri kwenye likes given. May be u don appreciate others' thread.make it even 1
  CHADEMA, huwa wanapongezana bana, acha bana, 401 by 0.Invalid corelation
   
 19. E

  EmeraldEme Senior Member

  #19
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata Nassari kukubali the hug lilikuwa kosa, but since kuna Mungu anayeona alishatoa ahadi kuwa hakuna silaha itakayoinuka dhidi ya watu wake ambayo itapata nafasi as per Isaya 54:17...
   
 20. msafiri.razaro

  msafiri.razaro JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 616
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  CHADEMA lazima wajiulize kwa nini Mkuu wa Polisi Upelelezi alikuwa Igunga ndio huyo huyo amepelekwa Arumelu kama kazi yake sio kuisadia CCM kuiba kura.
   
Loading...