Je vijana tuna uzalendo wa kweli wa nchi hii?

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,798
12,240
  1. Kwamba tunaweza kulinda na kutetea uhuru na ustawi wa nchi hii kwa moyo wa dhati!
  2. Kwamba tunaweza kujitolea kujenga uchumi wa nchi hii!
  3. Kwamba tunaweza kulinda rasilimali za nchi hii dhidi ya ufisadi na wizi!
  4. Kwamba tunaweza kujivunia utamaduni wetu kifua mbele!
  5. Kwamba tunaweza kuitangaza nchi hii kwa mazuri duniani kote!

TAFAKARI!
 
Back
Top Bottom