Leo Mgombea wa chama cha SAU huko Arumeru akihutubia mkutano wa kampeni uliokuwa na watoto na watu wengine kiduchu ameahidi kujenga reli ya kutumia makaa ya mawe ya Liganga,akiongea kama anapiga...
Ebu tujikumbushe kidogo katika haya ili kuondoa ama kupunguza pressure huko Arumeru hapo 1st April 2012 (Foolish Day)
By Dr.W.Slaa (Katibu Mkuu Chadema)
WanaJF,
Niko uzini leo siku ya Tatu...
Nadhani sote tunataarifa kwamba kuna tangazo linalorushwa na REDIO CLOUDS la kuhamasisha wanachama na wapenzi wa CHADEMA kukichangia chama hicho.
Taarifa RASMI zinasema Mwaandaaji wa sherehe...
Wana JF hii mada nimeipenda na ninaiwasisha kama ilivyoandikwa. tafadhali jisikie huru kutoa maoni kwa lugha yo yote kati ya lugha zetu kuu: Kiswahili, Kiingereza, au Kiswangereza
A title is a...
Wakuu inasemekana leo kuanzia saa kumi jioni kutakuwa na kikao cha ndani cha ccm kitakachofanyika katika madarasa ya shule ya msingi Ngongongare na katika kikao hicho atakuwepo January Makamba na...
Kupigwa kwa Mwanafunzi wa Makumira ambaye ni kada wa CCM haihusiani kabisa na Siasa,nilikuwepo eneo la tukio na hakupigiwa nyumbani ni ugonvi wa Bar,Mwandishi wa Mwananchi kuhusu hii habari...
Kwanza napenda kuwa wazi kwamba Sikukubali Lowasa kama Mtanzania unayestahiri kuwa kiongozi wa Taifa letu kama Taifa kutokana na Historia yako isiyoridhisha.
Lakini napenda pia kuwa wazi kwamba...
Baada ya kujikuta akizama kwenye tope zito siku ya ufunguzi,rais mstaaf ben hataki tena kurudi arumeru mash kushiriki ktk kufungwa kwa kampeni za uchaguzi mdogo mwishoni mwa mwezi huu.Katika...
Nimeachwa nyuma kidogo na update za madiwani wa CHADEMA waliofukuzwa Arusha. Je uchaguzi wao nao unafanyika April sambamba na wa mbuge wa Arumeru au bado kuna issue za kimahakama hazijakamilika?
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Songea Peter Mboya akiwasalimia wananchi wa Kata ya Lizaboni wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya sokoni wa kumsaka Diwani wa Kata hiyo...
Na Stephano Mango, Songea
WANANCHI wametakiwa kuwa makini katika kuzisikiliza sera na ilani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ili waweze kuchukua hatua stahiki katika Uchaguzi...
Kada wa CCM na Mkuu wa zamani wa Wilaya mbalimbali nchini kesho ataanza kutoa ushahidi wa kumng'oa kijana wa CHADEMA John Mnyika asiwe mbunge wa Ubungo.
Kada huyo ataambatana na wanachama wengine...
Kwa mimi ninavyoelewa kuwa Mtoto akizaliwa nchi za nje ila wazazi wote wakawa ni waTZ anahesabiwa kuwa ni raia wa nchi ambayo amezaliwa automatically mpaka akifikisha miaka 18 ndio anaweza kuapa...
kampeni zinazoendelea huko Arumeru zinanipa picha moja kuwa wanasiasa wengi wanaamini kuwa wananchi wengi ni wajinga na ambao hawaelewi chochote kinachoendelea nchini kiasi cha kuwaambia mambo...
Inasikitisha wakati mapato kwenye sekta ya madini(haswa gold)yakiongezeka....hali za maisha ya Watanzania zinazidi kuwa doro...yaani gap ya upungufu wa urari...accounts deficit...
CCM UDINI ,HAUTASAIDIA KUKWAMISHA MABADILIKO ARUMERU MASHARIKI !!
mchezo unaofanywa na viongozi wa CCM ambao wameanza kuitisha vikao na viongozi wa makanisa wakitaka kuungwa mkono walau kwa muda...
Salam sana wanaJF, kutokana na umuhimu wa Uchaguzi huu mgogo nani ya Jimbo ya Arumeru Mashariki hadi JUZI JUMATANO hali halisi inaonesha asilimia hado ni 50 by 50 kati ya CHADEMA na ccm.Ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.