Kesi ubunge wa Lema: Hukumu tar 5 April... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ubunge wa Lema: Hukumu tar 5 April...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bibikuku, Mar 23, 2012.

 1. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 827
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Swali ni kwamba, Lema atashiriki mkutano ujao wa bunge mwezi April Dodoma ama ndio mwisho wa safari na tujiandae tena kwa uchaguzi mdogo? Hukumu ya kesi yake sasa inatolewa Tarehe 5 mwezi ujao. Pande zote mbili zimemaliza kutoa ushahidi wake na kila upande umemaliza kutoa maelezo ya mwisho ya kesi.
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,072
  Likes Received: 5,216
  Trophy Points: 280
  Sijui kama kunakuwa na uchaguzi mwingine mdogo nadhani sheria ilibadirika katika hilo; sina uhakika sana.
   
 3. dazu

  dazu JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 365
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa hali ilivyo..... Uje uchaguzi mdogo mwingine, Lema ataongeza margin ya ushindi alokuwa ameupata 2010.
   
 4. TETILE

  TETILE Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kuwe na uchaguzi mdogo!.
  CDM itachota jimbo kwa halali kabisaaaaaaaaa!
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,956
  Likes Received: 367
  Trophy Points: 180
  Mbwembwe za kwenye uchaguzi haziwezi kutengua matokeo.
   
 6. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mlalamikaji anatafuta kujikosha tu wakati maji yalimfika shingoni ngoja tuone
   
 7. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,491
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Naunga mkono.
  Hii kesi ni ya kipumbavu, Lema kalichukua lile jimbo kiulaini mno na mashahidi wa hii kesi walitia aibu!!
   
 8. k

  kuzou JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mara nyingi mlalamikiwa huzuiwa asishiriki uchaguzi mdogo,itabidi awekwe cdm mwingine
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Navutiwa xana na ushahidi unaotolewa kwenye kesi ya MPENDAZOE Vs MAK0NGORO
   
 10. DIALLO

  DIALLO Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15

  Hakuna kesi pale ni mbwembwe tu. walikuwa wanatafuta jinsi ya kula pesa ya CCM na mbunge mwenyewe na isitoshe kuna baadhi ya mashahidi hakutokea upande wa walalamikaji.

  Hata wakiludia tena CCM hawawezi kushinda na sanasana ni aibu kubwa zaidi ya 2010
   
 11. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,791
  Likes Received: 5,689
  Trophy Points: 280
  Hukumu ni tarehe 4 wana-JF..
   
 12. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wamwambie hakimu atengeue ubunge wa Lema kisha waone jinsi hli itavyokuwa mbaya.
   
 13. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,189
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Hukumu itakapotoka Lema anapigwa ban kugombea tena CCM wanashinda kiulaiiiniii!!
   
 14. M

  Mdundulizaji Senior Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwenye wasiwasi kuhusu hatma ya ubunge wa Lema kwa kesi hii ni wa kuonewa huruma!
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 33,787
  Likes Received: 8,358
  Trophy Points: 280
  Segerea Uchaguzi mdogo ni kitu ambacho kakihepukiki na nitashangaa sana kama CHAADEMA mpaka sasa watakuwa hawajaanza maandalizi ya kulichuwa rasmi jimbo hili.
   
 16. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu unaota...au?...Nakuhakikishia CDM hata watasimamisha Ng'ombe atashinda dhidi ya CCM.
   
 17. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  No matter what...CDM itaibuka kidedea pasipo shaka kabisa.
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  yaani,japo sijaenda mahakaman,lakin kwa jins inavyoripotiwa,ile kesi ni ngumu kwakweli,any way tusubiri!
  NILISHTUKA NILIPOSKIA MAK0NGORO ALIKUTWA NA MASANDUKU.TABATA
   
 19. N

  Noboka JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Usiseme ng,ombe sema jiwe, CCM hawana chao tena Arusha mjini
   
 20. L

  LOMAYANN JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 1,154
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Kama umefuatilia kesi ya msingi sijaona mahali lema kapatikana na hatia labda kama ccm watatumia mahakama vibaya na hili linaweza kuwa hatari zaidi kwao
   
Loading...