ITV nawapongeza kwa kuiondolea aibu ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV nawapongeza kwa kuiondolea aibu ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DCONSCIOUS, Mar 22, 2012.

 1. DCONSCIOUS

  DCONSCIOUS JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,272
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Leo kwenye taarifa ya habari nimeshuhudia akionyesha mkutano wa ccm bila ya kuonyesha watu walio hudhuria. Kwani sauti za watu walio kuwa wameudhuria ilikuwa ni ndogo sana. Nakuishia kuchukua picha yawazungumzaji tu .Tofauti na ilivyo kuwa kwa chadema
   
 2. W

  Wangama guy Senior Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bila shaka mchango wetu kwenye thread ya juzi kuhusu itv kuonyesha upendeleo wa wazi kwa magamba umewafikia. Hata kama Novatus wa itv aliyeko huko Arumeru ni kada wa magamba, lakini anapaswa kuriport hali halisi ya mikutano yetu ya kampeni ya CDM, na siyo kupindisha pindisha ukweli. BRAVO CDM!!
   
 3. B

  BigMan JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  mikutano hiyo ina ngazi mbalimbali kuna ya mitaa na vijiji itashangaza mkutano wa kijiji kimoja ambacho hakizidi watu 300 kuwa na umati novatus namuamini anajua kazi yake,lakini ukiangalia habari za cdm picha ni ile ile lakini waungwana hamulioni hilo na tena sasa cdm wanakosa watu inawabidi kufanya mikutano bila kupanga katika minada na masoko lakini ukirudi katika taarifa ya habari ya leo je uliangalia ya saa tano ? nafikiri ya saa mbili ilikuwa na tatizo la kiufundi kwani ya saa tani ilikuwa na picha nzuri sana tofauti na ya saa mbili na mwisho mimi sidhani issue ya kujaa watu kama ni muhimu sana kuliko ujumbe wa majukwaani
   
 4. DCONSCIOUS

  DCONSCIOUS JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,272
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Heee! Kumbe mikutono yote wanafanya kwenye vijiji vya wa masai?.....Pia uo ujumbe utampa nani kama hakuna wa kukusikiliza? Au ndio mnasubiria kuongeza hivyo vituo feki??
   
 5. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo ndipo ulipopotoka! Ni kweli lazima uhisi picha ya CDM ni ile ile ya uzinduzi jinsi watu wanavyojaa mikutano yote. Sasa tumia akili kidogo tu kutofautisha, kwenye uzinduzi Dr. Slaa hakuwepo.
   
 6. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bravo cdm
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  bigman watu 300 ni level ya mtaa, hizo ni kaya 50 tu! Hakuna kijiji chenye watu 300!
   
Loading...