Uchaguzi wa Arumeru ahhhh | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa Arumeru ahhhh

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Konaball, Mar 23, 2012.

 1. K

  Konaball JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Tarehe mosi april wananchi wa ARUMERU watapiga kura kumchagua mbunge wao ukiangalia tarehe hiyo ni siku ya wajinga duniani je wanaarumeru watakubali kuwa wajinga kutokana na siku hiyo ili kuchagua wale ambao hawawapi mtamuini kila siku?
   
 2. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Arumeru si wajinga, watakichagua CHADEMA.
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Usiwatukane wana-Arumeru, wanajua wanachokifanya.
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Unafikiri kutokuchagua CHADEMA kunatosha kumtukana mwenzako mjinga? siasa, chuki binafsi au nini. Nadhani tukifikia hapo tutakuwa tumepotea.
   
 5. H

  HlydeDaue Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chuki binafsi au nini. Nadhani tukifikia hapo tutakuwa
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG]
   
Loading...