Kampeni za Ubunge Arumeru Mashariki katika picha, Msaada tafadhali! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni za Ubunge Arumeru Mashariki katika picha, Msaada tafadhali!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by nsami, Mar 22, 2012.

 1. n

  nsami Senior Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu salute!

  Leo pia nimepata fursa ya kushuhudia mkutano wa kampeni za ubunge wa Arumeru Mashaiki, ambapo CDM walikuwa wakinadi sera katika viwanja vya Nkoanrua primary kata ya Nkoanrua!

  Nimepata picha nashindwa kupost, naomba msaada please!
   
 2. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  Zitume kwenda... support@jamiiforums.com...watafanya hiyo kazi mkuu.
   
 3. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  km una kamera ya digital na inasoma ktk Computer au Laptop chomeka halafu hapohapo ulipo-post hii habari chini kuna neno attachment uta-click utafunguka ukurasa mwingine utaziingiza hizo picha kwa kufungua tena My Computer hapo watakuonyesha camera yako na picha zako chagua na u-click kuziingiza ktk Jamii forum
  ukishindwa nenda katika Internet cafe yoyote hata pale Arusha Mjini watakufanyia kazi hiyo ww walipe tu baada ya kuwafungulia a/c yako ya hapa JF ya M M NKUNYA
   
 4. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Kama unatumia PC/Laptop fuata hatua zifuatazo.  1. Zi 'paste' picha hizo kwenye 'desktop'.
  2. Fungua Jamii Forum
  3. Log in kwa kuwa wewe ni member wa JF
  4. Fungua Jukwaa la Siasa
  5. Itafute thread yako ya "[h=2]Kampeni za Ubunge Arumeru Mashariki katika picha, Msaada tafadhali![/h]
  6. Ifungue thread yako hiyo( ya hatua # 5 hapo juu).Ingia katika "Quick Reply (QR)". Mstari wa chini wa 'icon' za QR unaonza na B I U una icon ya kuupload picha inayofuata ile ya alama ya dunia ila imewekwa X nyekundu ukielekea kulia. ukiweka cursor juu yake itasomeka "insert image(IM)". basi I'Click'.

  7. Ukisha iclick IM kitakuja kibox kingine kina heading ya BoldBlack kikisomeka Insert Image.
  8.K
  atika hicho kibox Click From computer(FC)
  9. Ukishaku'click' FC, kitakuja kibox kingine ambapo utachagua 'desktop icon'. Kisha utachagua picha ulizo paste katika hatua ya kwanza. Baadaye Click Open. Kama unamtandao mzuri (spidi ya internet connection ni kubwa). Picha zitakuwa uploaded haraka kwenye QR.
  10. Ukihakikisha umeweka picha zote ulizotaka kupost, basi Click Post Quick Reply iliyochini kulia kwa QR.

  Haya sasa tuwekee hizo picha tuzitathmini.
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mpigakelele ameweka kila kitu fuata maelekezo hayo kwa umakini kila kitu kitakuwa sawa.

  Wakati unahangaika kuweka picha hebu toa summary ya mkutano ulikuwaje?
   
 6. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Weeempiga kelele, kweli mganga haji............mbona avatar yako haione........viz..........
   
 7. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  tunazisubiri bwana
   
 8. n

  nsami Senior Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  View attachment 49941 Wakuu nimeishiwa moto kumbe nilisahau adapter ofisini, nitamalizia kesho! nashukuru kwa msaada wenu!
   
 9. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 10. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mkuu umenikata stimu mbaya,nilikuwa nasubiri kwa hamu...
   
 11. N

  Neema William Senior Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 171
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  jamani ndugu zangu wa magamba wamebadili stahili ya kampeni wala hawatumii nguvu sana katika kufanya kampeni, ilaa weeee acha Tu sasa Hivi ni kadi za kupigia kura zinanunuliwa mbaya, tena kadi moja kwa elfu 30 hadi 50, kuna mtu anaitwa chinga ndio wanamtumia nagawa pesa kwa kina mama wa soko la Usa River, pamoja na kina mama wauza mchele, ni aibu jamani, chadema wasipokomaa hakuna kitu
   
 12. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Mkuu, nimeiweka hivyo makusudi tangu tarehe 20/10/2011 nitaibadili tena baada ya 20/10/2012.
   
 13. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Please make sure..
   
 14. M

  Molemo JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu watapunguza tu idadi ya kura lakini kwa hakika hawatashinda
   
Loading...