Dk Dk JK ni rais wa hafla fupi!

nsami

Senior Member
Jun 11, 2010
175
8
Wakuu,

kuna jambo huwa linanishangaza sana, kila mara ninapomuna rais wangu Jk kwene vyombo vya habari mara nyingi huwa yuko kwenye hafla fupi ikulu. mfano juzi tu alionekana kwenye hafla fupi ya kumwapisha mkuu wa JKT, jana tena akawa na hafla fupi ya kuwaapisha wakuu wa mikoa!

naombeni msaada wa kisheria hapo, je sheria/katiba haimruhusa kufanya shughuli zote ktk sherehe moja? kama hali ndio hii nadhani mwanaasha angepata division III angeweza kumfanyia hafla fupi ikulu kumpongeza au ilifanyika? na siku Riziwani atakapozindua ghorofa lake lile analojenga arusha mjini karibu na stand napo atamfanyia hafla fupi ikulu kumpongeza,, ,,,,, nk

Mwishowe si ataitwa raisi wa hafla fupi?
 
Hilo mbna linajulikana umesahau na kusafiri, huku makamu wake akiwa ni bobezi wa kukata utepe, kuzindua na kuweka mawe ya msingi.
 
Back
Top Bottom