Habari zenu wakuu,
naomba niripoti tetesi hii kutoka kwa jamaa yangu aliyeko arumeru east kunakofanyika kampeni za ubunge wa jimbo hilo kuwa..ccm wameendelea kununua kadi za kupigia kura kwa tsh...
chama cha mapinduzi hakitatumia helikopta katika uchaguzi wa arumeru mashariki,nimeongea na kiongozi mmoja amenidokeza kuwa hali hiyo inatokana na uchaguzi huo kuwa laini mara hamsini ya ule wa...
Kweli Mabadiliko ya katiba Tz ni ya muhimu mno.Ukiwa mfanyakazi wa Serilaki na ukawa Front line kwenye Chama Cha Mapinduzi,hakuna atakaye kusumbua na kila atakaye jifanya kiherehere...
Itakuwa kioja cha mwka kwa wanakirumba kumchagua Jacky masamaki,cv yake kwa Mwanza hadi mtoto anaijua kwa jinsi ilivyo hatarishi,ni kweli magamba wameishiwa hadi kuangalia zaidi mgombea mwenye...
siasa inayoendelea arumeru ni ishara mbaya ya mwaka 2015....japokua inaeleweka wa kuchukua nchii,ila uchumi,usalama wa raia na mali zao zitakua hatarina
mkutano wa mwisho leo uko hapa akeli karibu kabisa na nyumbani kwa sumari, watu ni wengi sana huwezi kuamini kama ni nyumbani kwa sumari..)yuko dr slaa nasari, lema, na madiwani
¤Asema nchi imepoteza mwelekeo, inahitaji kusaidiwa ¤Awataka wanainchi kuzinduka, kufanya mabadiliko ¤Maalim seif aituhumu NEC adai inavuruga amani. soma Majira la Leo.
Wanafunzi huko Kahama wasambaratisha msafara wa DC wakidai haki zao!
Na Shija Felician wa Mwananchi - Friday, 23 March 2012
MSAFARA wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kahama...
katika jambo lililowachanganya makada wa ccm ikiwemo madiwani ni muitikio mkubwa wa majirani wa sumari kwa mgombea wa chadema bw nassari.hili limedhihirika katika mkutano uliofanywa na chadema...
23 MARCH 2012
Rais Jakaya kikwete
*Ni baada ya kilio cha wananchi,wastaafu
*Ni kile cha kupinga nyongeza za posho zao
Na Grace Ndossa
HATIMAYE dawa ya wabunge na...
Nimekuwa nikimchunguza sioi ktk kampeni hana mvuto wowote anapoongea ni kama kalazimishwa.uwezo wake wa kujenga hoja duni sana ananikumbusha kampeni zj karume 2005 ccm oye serikali itaboresha...
Napenda niwakumbushe wanaCDM na wana Arumeru juu ya principle moja muhimu sana katika kuishinda CCM. Ikiwa CDM inataka kushinda Arumeru basi ihakikishe inashinda kwa tofauti ya kura nyingi. Uzoefu...
Wandugu tumeona wabunge wanaojiita vijana wameaamua kabisa kuwauumiza vijana wenzao wasio kuwa na ajira kwa kile wanachokiona kuwa eti ni kuongeza mapato ya serikali ili hali sekta ya madini na...
KATIKA hali isiyo ya kawaida, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa amejikuta akiingia katika siasa chafu za uchaguzi baada ya kutoa matamshi yaliyomfanya ashambuliwe kwa maneno makali na...
Nyani Ngabu na wapiga box wenzio mnaweza kuchangia ukombozi wa nchi yenu kupitia Western Union kuja Mpesa au Airtel money. Ukombozi wa nchi hii utawasaidia ndugu zenu kibao tunaokula nao vumbi...
Hi,wana jamvi! Nimekuwa nikiona kwenye vyombo vya habali eti Wazee wa Arumeru wametoa tamko.Na huwa inapewa uzito mkubwa kabisa! Hivi hilo tamko linatoka ndani ya Kikao flani? Je huwa kuna kura...
01 April is "All Fools Day'. Generally speaking, the April Fool's Day is spent trying to get people to believe in falsehoods or otherwise run a "fools" errand or unnecessary action. Some of the...
JUZI Kamati ya Maadili ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) ilivionya vyama vya CCM na Chadema, kuacha kampeni chafu baada ya kuthibitika kuwa vimekiuka sheria na maadili ya uchaguzi kutokana na...
Wanabodi,
Mkuu wa wilaya ya Liwale, Paul Chiwile amefariki usiku wa kuamkia leo katika nyumba ya kulala wageni ya Vission aliyofikia mjini Lindi.
Mkuu huyo wa wilaya alikuwa Lindi kuhudhuria...