CCM kutotumia helikopta Arumeru mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kutotumia helikopta Arumeru mashariki

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by BigMan, Mar 24, 2012.

 1. B

  BigMan JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  chama cha mapinduzi hakitatumia helikopta katika uchaguzi wa arumeru mashariki,nimeongea na kiongozi mmoja amenidokeza kuwa hali hiyo inatokana na uchaguzi huo kuwa laini mara hamsini ya ule wa igunga.tayari wana madiwani wote 17 wa kata na wengine saba wa viti maalumu,wanawenyeviti wote wa vijiji vilivyoko jimboni humo na pia wana mabalozi.lakini jamaa wanapiga kampeni kisayansi sana kwani hivi sasa wamesambaza makada wao katika vijiji vyote na wanapiga kampeni za nyumba kwa nyumba na kuongea na wapiga kura kwa ushawishi wa hali juu anaeleza mikutano ya hadhara hutoa uhakika wa ushindi wa asilimia thelathini tu lakini pia anabainisha kuwa idadi kubwa ya wapiga kura ni wazee na wanawake ambao asilimia tisini ni wa kwao huku idadi kubwa ya vijana ikiwa haimo ndani ya daftari la wapiga kura kwa kifupia anasema kuwa kuvuta watu kwa helikopta hakuto taswira halisi ya wahudhuriaji
   
 2. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mpe hai mwigulu chemba,vp huko nako kafanikiwa kumpata mke wa kada wa magamba au mambo magumu?
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Well done CCM, ningewashangaa sana kutumia helikopta na nyie. Mmeonyesha nyie kweli ni strategist na mna uzoefu kwenye medani ya siasa. Na hapa ndipo yaonyesha tofauti ya kipofu (cdm) na anae ona (ccm).
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hata hivyo helikopta was not an original idea of CCM.
   
 5. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ukipenda chongo huita kengeza. Najua kama CCM wangetumia helkopta ungewasifia kwa sababu wewe ndiyo wewe.
   
 6. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  point less,igunga atukusimamisha mgombea 2010 tuliposimamisha 2011 nin kilisababisha na nyie mpeleke chopa..sisiem time will tell wapo rafiki zangu wengi wapo makumira na uoa wanasema makad wa magambaz wanawalazmisha wakusanye vtambulisho wapewe elfu10 shame on u magambz.mtaibia wajinga ila mda unakuja.
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Trh 1 April lazima tukuinamishe halafu tutajua tutakufanya nn baada ya hapo
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  CCM wana mtaji mkubwa sana Arumeru, madiwani wote ni CCM hapo ww bado hujafunguka macho tu mpz wangu mzuri, laazizi na barafu wa moyo wangu !
   
 9. p

  pascal haonga Member

  #9
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ccm wasitumie helcopter au watumie,watumie vx au watembee kwa miguu, wawe na madiwani wengi au wenyeviti wenyeviti wa vijiji wengi haijalishi.biashara ya kupata ubunge arumeru mashariki imewakata, 2015 chadema inachukua nchi.magamba wajiandae kuwekwa ndani.
   
 10. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hata CUF walikuwa na mtaji Igunga lakini waliula. Wazee wa Kishiri jana walitoka na bonge la povu kuwa peoples power ni hatari, eti hadi watoto wao wamewageka wanawaonyesha vidole viwili tu kila wanakopita.

  Kuonyesha kuwa wewe na CCM yako ni wehu hamsemi kuwa sera gani zitawasaidia kushinda zaidi ya kusingizia wazee tu. Hiki chama chenu inaonekana mmeishakuwa washirikina
   
 11. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #11
  Mar 24, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  CCM walitepeta Mwanza 2010 pamoja na kuwa na mabalozi,wenyeviti wa mitaa na madiwani.
   
 12. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Igunga mlijaza watu hivyo hivyo kwenye mikutano ila wapiga kura wengi wa Arumeru ni wazee na wanawake, vijana wengi walioko kwenye kampeni zenu sio wapiga kura. Ukisoma hapo utajua tayari cdm na ww tunawainamisha chini na tutakacho wafanya baada ya hapo tutawaambia
   
 13. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Six days are left, no much talking, let us wait and see.
   
 14. M

  MIRIJA IKATWE Senior Member

  #14
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ssm Time will tell walasiku sio nyingi inamaana hao vijana ndiyo hawataandikishwa kabisa we subiri kwani 2015 mbali
  :violin:
   
 15. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Jipeni moyo
   
 16. h

  hans79 JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  kwishinei,mwaweza kumuiga tembo nyie vijisungura!utapasuka --------------------o.
   
 17. Mwakiluma

  Mwakiluma Senior Member

  #17
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Watatumiaje helcopta katika JIMBO ambalo wanajua kabisa kwamba watashindwa...ccm hawataki kupoteza hela zao bure na kwa hili nawapongeza magamba kwa mara ya kwanza....BIG UP SANA....
   
 18. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #18
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  CCM wamefuliaaaaa
   
 19. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #19
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Hivi CCM mtapapopigwa chini maadam hakuna mkataba wa ushindi na mwenyewe Mungu mtalia kilio gani?? Sometimes sifa zinaua
   
 20. m

  muheza2007 JF-Expert Member

  #20
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 60
  Nimesikia vijana wengi wa Arumeru wanafanya biashara Arusha mjini na wengi walijiandikisha Arusha kwa mwaka 2010 ili wamsaidie Lema.

  Toka 2010 hakuna uandikishaji uliofanywa kwenye daftari la wapiga kura.

  Pia wanafunzi wa chuo kikuu ni wale wa mwaka wa tatu tu ndio walijiandikisha Arumeru, wengine wote hawataweza kupiga kura Arumeru.
   
Loading...