Sheria ya Wafanyakazi wa Serikali kutojihusisha na Siasa na kwa Vyama vya upinzani tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria ya Wafanyakazi wa Serikali kutojihusisha na Siasa na kwa Vyama vya upinzani tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by yplus, Mar 24, 2012.

 1. y

  yplus Senior Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli Mabadiliko ya katiba Tz ni ya muhimu mno.Ukiwa mfanyakazi wa Serilaki na ukawa Front line kwenye Chama Cha Mapinduzi,hakuna atakaye kusumbua na kila atakaye jifanya kiherehere kukufatafata,hiki ya Mungu hana Bahati,cha moto atakiona...
  Ila usiombe uwe Front line CDM au CUF na ugundulike,kwanza utaitwa kwa Mkurugenzi kama ni muajiliwa Halmashauri,utapigwa mkwara,na ukikaa vibaya kazi huna...
  Why is like that?
   
Loading...