Wazee wa kubeba BOX changia CDM kupitia Western Union | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazee wa kubeba BOX changia CDM kupitia Western Union

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ulukolokwitanga, Mar 23, 2012.

 1. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Nyani Ngabu na wapiga box wenzio mnaweza kuchangia ukombozi wa nchi yenu kupitia Western Union kuja Mpesa au Airtel money. Ukombozi wa nchi hii utawasaidia ndugu zenu kibao tunaokula nao vumbi huku bongo. Igeni mfano wa Diaspora aliyeshusha dola 1200 pale Naura Springs
   
 2. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Yule Diaspora aliyechangia dola 1,200. nimemkubali maana hawa jamaa zetu wanaoishi Ulaya na America maneno mengi lakini vitendo kidogo inapofika issue ya pesa!
   
 3. G

  Golfer2008 Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I hope we can, cha zaidi tuhamasishane
   
 4. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  I shall not speak
   
 5. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Mkuu samahani,nimeona mchango wako ambao umemwahidi mzee Mtei kuutuma kesho kupitia CRDB! Naomba uhamasishe na Diaspora wengine huko ulipo!
   
 6. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sio vibaya tukikumbushana kuichangia JAMIIFORUMS,kwa wameba na wasio beba box.
   
 7. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mkuu show some respect bwana...
  Kwanza hizi harakati bado zinaendelea hivyo kikubwa ni kuendelea kuhimizana tu hayo maneno ya shombo sio ishu kabisa....
  Suala la "sadaka" ni dhana tata sana ambayo inasukumwa na kuguswa na matumizi ya michango hiyo, hivyo ni mapema sana kuanza kunyooshea watu vidole kama zoezi hili ni endelevu..
  Tupunguze hisia!
   
 8. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nibebe mimi BOX, pesa nimpatie mwanasiasa? Siwezi toa hela yangu, "wanasiasa wote wezi!"
  I stand to be criticised.
   
 9. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Hivi nani aliwaambia kama siku hizi wabeba box ni wazee wa Super PAC?.
   
 10. w

  woyowoyo Senior Member

  #10
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kanisa la chadema nalo limeanza kukusanya " sadaka"
   
 11. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #11
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyo si wewe,wenzio tunatoa
   
 12. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Unajua maana ya sadaka ? Au wewe ni mpagani ? Au muabudu sanamu !!!
   
Loading...