rwamashugi
Member
- Dec 5, 2011
- 48
- 2
Hi,wana jamvi! Nimekuwa nikiona kwenye vyombo vya habali eti Wazee wa Arumeru wametoa tamko.Na huwa inapewa uzito mkubwa kabisa! Hivi hilo tamko linatoka ndani ya Kikao flani? Je huwa kuna kura inayopigwa ili kuhalalisha tamko hilo? mfano eti wazee hawamtaki Lema Arumeru.Hivi kweli wazee wote wa Meru wame kubaliana na hilo?
Hili swala la tamko la Wazee inabidi liangaliwe.Eti juzi juzi tumewaona Wazee wa Dar wameitwa kumpigia Jk makofi kuhusu swala la ma Doctor. hawa wazee wana patikanaje? Je wana wakilisha wazee wote wa eneo husika? au ni janja ya kisia tu? je tuendelee kukubari wazee wetu wae ndelee kutumika kama vifaa vya wanasiasa kupitishia hoja zao?
Kwa hili wana janvi mnasemaje?