Mastabenja
Member
- Mar 23, 2012
- 25
- 6
Nimekuwa nikimchunguza sioi ktk kampeni hana mvuto wowote anapoongea ni kama kalazimishwa.uwezo wake wa kujenga hoja duni sana ananikumbusha kampeni zj karume 2005 ccm oye serikali itaboresha uvuvi ccm oye serikali itaboresha karafu ccm oye