Udiwani wa Kirumba; Masamaki hafai!

Ichobela

JF-Expert Member
Jan 7, 2012
326
156
Itakuwa kioja cha mwka kwa wanakirumba kumchagua Jacky masamaki,cv yake kwa Mwanza hadi mtoto anaijua kwa jinsi ilivyo hatarishi,ni kweli magamba wameishiwa hadi kuangalia zaidi mgombea mwenye ushswishi wa ngawaila?

Naomba kuwasilisha.
 
mafia mbaya....

CCM wenyewe ni Chama Cha Mafia, sasa katimiza kigezo muhimu kuliko vyote.

Na ndiyo maana kwa umafia huo wa wanaCCM wanauza rasilimali zetu, wanakumbatia mafisadi. Only Mafia can do that.
 
Huyo Jamaa ni hatari sana, tena Hapo Kirumba kuna Mkurya mmoja anaitwa KITANA mwana ccm kindakindaki ohooo Jamaa anajeshi lake ziwa victoria na haumuambii kitu.

Mwaka 2005 baada ya Mbowe kutinga Mwanza na Chopa kwenye Kampeni na kuamsha mji huo rasmi kutoka usingizini kesho yake asubuhi ukasambaa uvumi kwamba KITANA kakamatwa na wanajeshi baada ya mtoto wake kumuua mtoto wa Mjeda waliyekuwa wakisoma Boarding school Uganda.

Uvumi huu ulisuppress kabisa habari za Mbowe sababu watu wengi walifurahia Jamaa kudakwa wakijua Amani itarejea Mjini kumbe ulikuwa uzushi.

Nauhakika wanakirumba wanamake money vibaya sana kwenye hizi kampeni sababu hao jamaa wanatoa pesa hovyo hovyo utafikiri FINCA.
 
CCM wenyewe ni Chama Cha Mafia, sasa katimiza kigezo muhimu kuliko vyote.

Na ndiyo maana kwa umafia huo wa wanaCCM wanauza rasilimali zetu, wanakumbatia mafisadi. Only Mafia can do that.
Sure bro!!
 
Najua sana huyu jamaa ovyo kabisa, hafai kuwa kiongozi hata wa familia kazi.
Kitu chakusikitika sana mambo yakle anapata s
upport kutoka ngazi za juu za chama cha magamba na polisi kunuanyasa raia wakawaida.
 
Huyo Jamaa ni hatari sana, tena Hapo Kirumba kuna Mkurya mmoja anaitwa KITANA mwana ccm kindakindaki ohooo Jamaa anajeshi lake ziwa victoria na haumuambii kitu.

Mwaka 2005 baada ya Mbowe kutinga Mwanza na Chopa kwenye Kampeni na kuamsha mji huo rasmi kutoka usingizini kesho yake asubuhi ukasambaa uvumi kwamba KITANA kakamatwa na wanajeshi baada ya mtoto wake kumuua mtoto wa Mjeda waliyekuwa wakisoma Boarding school Uganda.

Uvumi huu ulisuppress kabisa habari za Mbowe sababu watu wengi walifurahia Jamaa kudakwa wakijua Amani itarejea Mjini kumbe ulikuwa uzushi.

Nauhakika wanakirumba wanamake money vibaya sana kwenye hizi kampeni sababu hao jamaa wanatoa pesa hovyo hovyo utafikiri FINCA.

Kumbe Kitana naye mzee wa bomba kama Mafishi? Duuh hii kali ndo maana marafiki
 
kwa ccm siyo kitu cha kushangaza. kama jambazi aliyefungwa miaka 30 ameweza kutoka kwa msamaha wa rais na sasa ni diwani huko mererani sembuse huyo!
magamba wamechoka!
 
CCM nani sio mafia?labda wale washabiki wasioelewa kitu wanaoambulia kanga,kofia na ubwabwa.
Hili kundi la wanyonge siku likizinduka na kujua CCM ni kitu gani basi na ukombozi wa nchi hii utakamilika na ndipo tutakapo iona neema ya Mungu katika rasilimali alizotupa.
 
Sifa kuu za kujiunga na CCM ndio hizo,
( 1 )lazima uwe mafia
( 2 )Mzulumaji wa mali,haki za wa TZ
( 3 )Uwe na roho mbaya kama shetani
Hapo utakuwa umefuzu vigezo vyao, ukiangalia list yote ya CCM wote ni wale wenye sifa chafu kuliko mitaro ya maji taka kwa Mtogole.
 
Back
Top Bottom